Wadau ukiwa wilayani chamwino njiani kuelekea dodoma unakutana na maua ya asili meupe yameota pembezoni mwa barabara kwa wingi sana,hivi haya yana matumizi gani? Kama bado hatujagundua hatuwezi kuyatafutia matumizi?
Yawezekana kuwa Mungu kayafanya yaote huko bila kuwa na matumizi?
Yawezekana kuwa Mungu kayafanya yaote huko bila kuwa na matumizi?