NIKITUMIA CONDOM UUME UNASINYAA

NIKITUMIA CONDOM UUME UNASINYAA

Wewe endelea kupita kavu tu kitakacho kupata ndio akili itakukaa sawa
 
kuna mambo mawili...

kisaikolojia, umejiaminisha nikivaa condom sitaweza..

uume emeanza kulegea, damu haipiti vyema ukivalishwa condom..

anza mazoezi ya kegel, na kila asubuhi ukidindaa uvalishe condom ili uzoee tena..
 
Shukran mkuu ntafanyia kaz
 
Back
Top Bottom