Nikitoka na mtu mwingine, jogoo hasimami

Nikitoka na mtu mwingine, jogoo hasimami

Nunua panga la makali kuwili linoe ipasavyo muendee huyo mama mwambie asipotegua hilo tego lake unamgawanyisha kiwiliwili, na wanae unawakatakata kama kabechi, taizi la kwanza anza kumpiga mabapa

Ukishindwa omba msaada, watu na roho zetu
 
ahhahahahahaha
 
Pole sana,hili jambo nishawahi kulisikia sehemu na tiba yake ikapatikana palepale,ni ivi kuna jamaa alichukua demu kwenda nae gesti hisia zote zimepotea so ikabidi tu waondoke ila gharama alishalipia,kuja sehemu kuhadithia kuna mwamba akatupa story na kumwambia atakuwa demu kawekewa tego na jamaa yake kuwa popote anapochekupa asiingiliwe,jamaa akamwambia kuna kimzizi kimoja kidogo sana unakitafuta hapo ndio unaweza ukaondoa ilo tegu,na yeye akasema mie nyumbani kwangu ndani nimeweka tego yaani siku mke wangu akiingiza mchepuka hautafanya kazi labda atoke nje ya nyumba yangu ndio nikapanua akili yangu kumbe hayo mambo yapo,so hapo ulipo jaribu kupitapita kwenye maduka ya tiba za asili dawa zake watakuwa nazo..........Pole sana
 
Naomba namba ya simu ya mama la mama Fundi sana
 
Mbona mnanitisha !!kuna mdada wa kichaga mchepuko wangu asije nitega nikashindwa kwa wife aisee
 
Umetengenezwa,muombe tu akufungulie kabla ya huyo mganga kufariki
 
Back
Top Bottom