Nikitafakari ya misri,tunisia,namwona jk akikimbilia na rizi comoro!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nikitafakari ya misri,tunisia,namwona jk akikimbilia na rizi comoro!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pdidy, Jan 31, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,421
  Likes Received: 5,687
  Trophy Points: 280
  Wpendwa wenzangu kwanza nawapa pole kwa yaliowakuta wikiend na kuchoshana kwa vijiharusi visivyoisha nk...
  Hakika najaribu kufikiria yanayotokea kwenye nchi hizo hapo juu jana nikiwa usingizin nimeota jk akikimbia na familia kuelekea comoro huku umati wa watu wakimwagika mnazimmoja na mji mzima kutaka aondoke na hili ni baada ya kuilipa dowans kama alivyopanga..nasema hivi kwa alie karibu nae namjulisha tu hali n ngumu uko mbele watanzania waganda sasa wameamka wamechoshwa kushtuliwa na wakenya
   
 2. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,373
  Likes Received: 3,132
  Trophy Points: 280
  Lisemwalo lipo ila sio kwa kikwete na sio kwa watz hawa wapenda amani.
  Tutamuweza kikwete?........wale wengine watoto wa mama tu hawana msimamo.....kikwete ana technics zake nzuri yaani kukaa kimya!....nyie semeniiiiii mwisho mtachoka kwani nano asiyewajua wabongo kwa kichonga?......yule sadamu huseni, yule wa tunisia, mubarak ni watoto wa mama tu......kikwete nnavyomjua atafanya km gbagbo wa ivory coast yaani kiburi.....na kukimbilia kwenda kunywa chai ulaya na kubembea jamaica........
   
 3. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1,158
  Trophy Points: 280
  huyo freemason mkwere siku zake zinahesabika.
   
 4. P

  Pokola JF-Expert Member

  #4
  Jan 31, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 717
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Tunisia is coming here, I tell you People. Najifua kukabiliana ana kwa ana na Rostam Aziz na Lowassa, niwapige bare knuckles hadi mtu anye. Amin, amin nakwambieni, vurugu ziko hatua chache toka leo hii. Na zikianza hazizuilik kirahisi!! Si vyema kubaki mashokoa kama tulivyo sasa. Tuamkeni Watanzania!!
   
 5. anti-fisadi

  anti-fisadi JF-Expert Member

  #5
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Aisee kweli blaza,ngoja na mie nianze zoezi kesho. Nia mwendo wa vinuckles tu
   
 6. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #6
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,421
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 180
  ametumia gharama kubwa kupeleka askari wetu vitani komoro wanakomwita mwekezaji mkuu! ntamsubiri feri na kipande cha tofali!
   
 7. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #7
  Jan 31, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Kila nikisomaga post kama hizi huwa nakumbuka lile shairi la mkongwe Andanenga la 'Samaki wakasirika'

  Watanzania ni wapole sana lakini huu upole huu nina mashaka nao sana.
  Ipo siku watu watacharuka na hapo hakutokuwa na kifaru wala ndege za kivita ambazo zitarudisha nyuma msimamo wa Watanzania hao.
   
 8. m

  mzambia JF-Expert Member

  #8
  Jan 31, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Acheni kumwombea mabaya baba yangu kikwete nyie hakimbii mtu hapa
   
 9. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #9
  Jan 31, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Toa kinyesi chako humu.
   
 10. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #10
  Jan 31, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mkwere atawahi Saudi Rabia kwa Ben Ali
   
 11. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #11
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,421
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 180
  ngwendu hujui babako mdogo jk anaongoza nchi kwa nguvu za giza?
   
 12. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #12
  Jan 31, 2011
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Ofisi kuu ya chama cha Mafisadi ni lazima iende kwa kiberiti na moto.
  Magari ya chama cha mafisadi yote kiberiti
  Ofisi ya Fisadi wetu RA na MAgari yake yote kule migoni nilazima yapigwe kiberiti.
  Mali za RA zote kiberiti
  Kuna Mahekalu kibao ya listi ya wezi wa TRA na BOT yatapigwa viberiti libakie jivu.

  Wao wakose sisi tukose ufaidi moto

  Ni vema waanze kuandaa pa kufikia huko ughaibuni ambako nako We will never leave them alone.
   
 13. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #13
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  JK ni memba wa Freemason kwani? Kuna Kanisa / Msikiti wa kikundi hiki pake nyuma ya IFM karibu sana na Ikulu.
   
Loading...