Nikisikia tena, utanikoma wewe

Picha ya kwanza itakuwa Kenya,Ya pili Tarime
 
nimegundua kuna wa2 hawalali kisa JF.
Bora mi natuma msg ndoton
 
Picha ya kwanza itakua Dar es salaam, ya pili Tarime!
 
Ya kwanza ni Mwananyamala kwa mama zakaria. Huyo dada anaitwa Asha bwiii.
 
Hiyo ya pili ni Tarime, naskia hapo jamaa ndo anaonyesha mapenzi ya dhati kwa mkewe!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…