- Faida utapata tena kubwa tu
- Sababu cost za uendeshaji ni ndogo sana
- Ninapo zungumzia cost za uendeshaji hapa nazungumzia ghalama ya ununuzi wa wino na ghalama ya ununuzi wa karatasi
- Tazama hii picha kwanza
Karatasi za Picha
- Utapata kwa tsh 3'000 au 4'000 kwa dar es salaam
- Huwa zinakuwa karatasi 20
- Karatasi moja utatoa picha nne (4) za 4 x 6
- Hivyo idadi ya picha ni 4 x 20 = Picha 80
- Upande wa Fedha utakayopata 80 x tsh 200 = tsh 16'000 [ Hapo faida ni tsh 12'000 ]
Wino
- Ni tsh 6'000 kwa chupa ndogo ya ml 70
- Na ni tsh 10'000 - 16'000 kwa chupa ya ml 250
- Kwa kazi ya printing picha kwa kila siku wastani wa picha 240 wino utajaza mara moja kwa kila miezi mitatu hadi minne (4)
Itafikia mahala - baada ya biashara kuchanganya
mahesabu itakuwa ni karatasi tu, sababu sifa kubwa ya hii printer epson L800 ni kutotumia wino sana, hivyo hutofikiria unuaji wa wino.
Kwa kifupi - umenunua printer sahihi kwa kazi ya kusafisha picha za aina zote - HONGERA