Professional Trader
JF-Expert Member
- Apr 5, 2016
- 1,220
- 1,113
Bahati mbaya kazi unataka ya laki 5 ya million vipiNi kijana mwenye umri wa miaka 22
Mwenye taaluma ya general agriculture level ya diploma na uzoefu katika kufanya mambo ya sales
kwasasa niko Dar es salam ...
Natafuta kazi yoyote ya halali ambayo inaweza fundishika au iusiane na taaluma yangu .....itakua vyema sana
Offer yangu ....Mtu yeyote atakayenifanikishia nikapata kazi yeyote yenye ujira wa kuanzia laki 5 na kuendelea nitakubali na kukubaliana naye kuwa atakuwa akipokea 50% ya mshahara wangu kwa muda wa miezi 3 baada ya apo itabidi kila mmoja apambane na hali yake ...
Napenda kuwasilisha kwenu waheshimiwa ombi langu
Onyo: Kama unaisi ujaelewa elewa au hii thread haikuusu tafadhali usichangie ....
Kiongoz ya laki 5 nakuendelea safi tu na nimema laki 5 na kuendelea kwasababu ya kufanya mgawanyo uwe wa mantiki kidogo yan pind natoa 50% na mim nibaki naweza survive kidogoBahati mbaya kazi unataka ya laki 5 ya million vipi
Kijana Unaweza Fafanua zaidi kwenye hili uliolisema hapa...Ni kijana mwenye umri wa miaka 22
Mwenye taaluma ya general agriculture level ya diploma na uzoefu katika kufanya mambo ya sales
kwasasa niko Dar es salam ...
Natafuta kazi yoyote ya halali ambayo inaweza fundishika au iusiane na taaluma yangu .....itakua vyema sana
Offer yangu ....Mtu yeyote atakayenifanikishia nikapata kazi yeyote yenye ujira wa kuanzia laki 5 na kuendelea nitakubali na kukubaliana naye kuwa atakuwa akipokea 50% ya mshahara wangu kwa muda wa miezi 3 baada ya apo itabidi kila mmoja apambane na hali yake ...
Napenda kuwasilisha kwenu waheshimiwa ombi langu
Onyo: Kama unaisi ujaelewa elewa au hii thread haikuusu tafadhali usichangie ....
Fafanua kiongoz kulima vipi yan maana neno kulima ni pana kidogo kwa nijuavyoKuna shamba mahali, kulima upo tayari au unataka kazi za ofisini?
Amesema kuanzia laki tanoBahati mbaya kazi unataka ya laki 5 ya million vipi
hhhahahahahaha Haki ya Mungu nimecheka mpaka basi KijanaKuna kama hektari 10 hvi zipo unaweza kuchukua mda gni kuzimaliza uje upige kzi mwanangu
Okay, apo ujuzi niliosomea ni General agriculture na level niliyofikia ni diploma na pia nikaongezea kuwa nakauzoefu cha mambo ya salesKijana Unaweza Fafanua zaidi kwenye hili uliolisema hapa...
Ukinifafanulia nitashukuru
- Mwenye taaluma ya general agriculture level ya diploma na uzoefu katika kufanya mambo ya sales
Kwa hiyo huna utalaamu wa Kulima Mchicha, Mihogo, Mahindi, Maharage, Mapapai, Maembe, Maua, Pilipili au hata kuandaa Shamba, au Kutumia Mbolea ya Asili au ya Kiwandani.Okay, apo ujuzi niliosomea ni General agriculture na level niliyofikia ni diploma na pia nikaongezea kuwa nakauzoefu cha mambo ya sales
Ivyo ndivyo nilivyoweza fafanua kiongozi kama bado nitarudia
Thank you
Uko kulima ni kwa jembe la mkono au ?Kuna kama hektari 10 hvi zipo unaweza kuchukua mda gni kuzimaliza uje upige kzi mwanangu
Kwann asa ucheke wakat mwenzako anatafuta ajilahhhahahahahaha Haki ya Mungu nimecheka mpaka basi Kijana
Ndio ninao kiongozKwa hiyo huna utalaamu wa Kulima Mchicha, Mihogo, Mahindi, Maharage, Mapapai, Maembe, Maua, Pilipili au hata kuandaa Shamba, au Kutumia Mbolea ya Asili au ya Kiwandani.
Yaani You totally Dully kwenye kitu chochote ambacho kinaweza kukutambulisha kama muhitimu wa hiyo Diploma ya Kilimo.
kilimo cha jembe la mkonoFafanua kiongoz kulima vipi yan maana neno kulima ni pana kidogo kwa nijuavyo
Uelezee huop Ujuzi ulionao kwenye Kilimo watu wakuelewe...Ndio ninao kiongoz
Amesema na kuendeleaBahati mbaya kazi unataka ya laki 5 ya million vipi