Nikipata kazi yoyote kwa msaada wako wewe Utafaidika kwa 50% ya.....

Professional Trader

JF-Expert Member
Apr 5, 2016
1,042
2,000
Ni kijana mwenye umri wa miaka 22
Mwenye taaluma ya general agriculture level ya diploma na uzoefu katika kufanya mambo ya sales

kwasasa niko Dar es salam ...

Natafuta kazi yoyote ya halali ambayo inaweza fundishika au iusiane na taaluma yangu .....itakua vyema sana

Offer yangu ....Mtu yeyote atakayenifanikishia nikapata kazi yeyote yenye ujira wa kuanzia laki 5 na kuendelea nitakubali na kukubaliana naye kuwa atakuwa akipokea 50% ya mshahara wangu kwa muda wa miezi 3 baada ya apo itabidi kila mmoja apambane na hali yake ...

Napenda kuwasilisha kwenu waheshimiwa ombi langu

Onyo: Kama unaisi ujaelewa elewa au hii thread haikuusu tafadhali usichangie ....
 
lucius batty

Member
Aug 23, 2014
5
20

Bahati mbaya kazi unataka ya laki 5 ya million vipi
 
Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,511

Kijana Unaweza Fafanua zaidi kwenye hili uliolisema hapa...

  • Mwenye taaluma ya general agriculture level ya diploma na uzoefu katika kufanya mambo ya sales
Ukinifafanulia nitashukuru
 
Professional Trader

JF-Expert Member
Apr 5, 2016
1,042
2,000
Kijana Unaweza Fafanua zaidi kwenye hili uliolisema hapa...

  • Mwenye taaluma ya general agriculture level ya diploma na uzoefu katika kufanya mambo ya sales
Ukinifafanulia nitashukuru
Okay, apo ujuzi niliosomea ni General agriculture na level niliyofikia ni diploma na pia nikaongezea kuwa nakauzoefu cha mambo ya sales

Ivyo ndivyo nilivyoweza fafanua kiongozi kama bado nitarudia

Thank you
 
Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,511
2,000
Okay, apo ujuzi niliosomea ni General agriculture na level niliyofikia ni diploma na pia nikaongezea kuwa nakauzoefu cha mambo ya sales

Ivyo ndivyo nilivyoweza fafanua kiongozi kama bado nitarudia

Thank you
Kwa hiyo huna utalaamu wa Kulima Mchicha, Mihogo, Mahindi, Maharage, Mapapai, Maembe, Maua, Pilipili au hata kuandaa Shamba, au Kutumia Mbolea ya Asili au ya Kiwandani.

Yaani You totally Dully kwenye kitu chochote ambacho kinaweza kukutambulisha kama muhitimu wa hiyo Diploma ya Kilimo.
 
Professional Trader

JF-Expert Member
Apr 5, 2016
1,042
2,000
Kwa hiyo huna utalaamu wa Kulima Mchicha, Mihogo, Mahindi, Maharage, Mapapai, Maembe, Maua, Pilipili au hata kuandaa Shamba, au Kutumia Mbolea ya Asili au ya Kiwandani.

Yaani You totally Dully kwenye kitu chochote ambacho kinaweza kukutambulisha kama muhitimu wa hiyo Diploma ya Kilimo.
Ndio ninao kiongoz
 
devcon

JF-Expert Member
Feb 2, 2015
355
500
Mi kwa ushauri wng usitafute kazi ya kuajiriwa bali tafuta mtaji halafu utumie taaluma yako hyohyo ulonayo ya kilimo naimani utausahau umasikini ndani ya muda mchache sn.
nchi yetu bado ina ardhi kubwa sn na haina wa kuitumia
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom