nikipata divesheni five najinyonga

Konaball

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Posts
2,949
Reaction score
1,943
kwa jitihada hizi nikifeli nimeonewa
 

Attachments

  • div five.jpg
    39.2 KB · Views: 390
tangulia, RIP
maana kwa nyenzo na mazingira tu, DIV Five huchomoki
 
Lakini watu wanaofaulu hawasomi namana hiyo. Kusoma kuelewa hakuhitaji kukesha. Unapolazimisha kukesha maana yake hauna TIME MANAGEMENT. Ukiwa unatumia vibaya Muda wako wa Mchana, ndio utajidai kulazimisha kukesha wakati wa Usiku Mwili wako ukiwa umeshachoka. Hua hatuendi hivyo. Huwezi kuelewa na Kukumbuka unachokisoma katika hali hiyo ya kulazimisha wakati mwili na akili imesha choka.
 
Kukesha mbwembwe. Kuelewa unachosoma ndiolo na msingi. Nukta.
 
hata umeme shida huyu kufaulu Mungu amsaidie tu hvyo vichache vikae kichwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…