mzibua chemba
JF-Expert Member
- Jul 18, 2016
- 476
- 412
Kuna kitu nimekaa hadi nawaza ni ushirikina au laa mimi nikinyoa nywele za sehemu za siri tu kama nipo safarini nikirudi inakua ugomvi wife, nikioga anataka anifulie boxa yeye nikifua anamind sana.
Sasa huwa ananitisha tukimaliza kudo huchukua leso yake na kunifuta sasa huwa nawaza usikute hivi anapeleka kwenye ushirikina maana nimekuwa na waswasi sana huu wasiwasi wana JF, kutaka yeye aninyoe anapeleka wapi hizo nywele za siri na kwanini alilie kufua boxa? Na kwanini anifute manii na leso yake?