Kama hujui hta JPM aliongozwa sala ya toba na walokole kwa ishara tu but haibadili ukweli kwamba alikua na vifungo vingine vya kiroho. Unless walivunja na maagano yote aliyoweka, He will rot in hell forever.

Ndio alikua navyo kama walivyo viongozi wengi tu wa kisiasa hilo halipingiki for ulinzi and influence. Sasa huwezi vaa hirizi alafu muda huo huo unaenda madhabahuni, Mungu hadhihakiwi.

Ndio wanasiasa wengi wanatumia ushirikina kujilinda ukiwa huku kakonko ndio utanielewa wanavyopishana na ma V8!! however bora wengine wapo kimya huwezi waona madhabahuni wakijifanya wapenda Mungu sana.
Hayo maigizo hayawezi kukusaidia bora uchague upande mmoja tu. Huwezi kuua watu wengi hivyo afu upande kwenye mimbari ukajifanya mcha Mungu!! Never..... Karma itakupiga tu