Inawezekana Daudi anahusika na kupotea kwa Ben ?Hakika nikimuwaza Ben sanane na Azory gwanda napata mshtuko wa moyo napata kiwewe najiuliza last moments zao zilikuwaje?
Najiuliza pale walipokamatwa paap na hatua za mwisho mpaka kutoweka kwao mpaka Leo !! Navaa viatu vya mke wake na watoto wao ben nà gwanada yani nashindwa kuelewa mtu unapataje ujasiri wa kumuombea mtu aliyewapoteza watu wasio na hatia.
Ninapowaona viongozi wa dini na waimbaji wa nyimbo za kumsifu mtu aliyepoteza watu kimasihara nashindwa kuelewa Mungu yupi wanaemuabudu.
Mwisho wa yote muda utaongea.
Pumzika Ben
Pumzika Azory
umenisaidia kuuliza maana naona r I p tu, sielewielewi hapaImeshajulikana kama hawa wapendwa wetu wameshatoweka duniani?
Kumzuia mtu mateka kwa miaka mine huo ni uhalifu inabidi waende mahakamani kushtakiwa utekaji ni kosa la jinaiMimi Bado naamini wata kuwepo tu hai labda wame fichwa sehemu maana hakuna ajuaye wamekufa ,wapo hai na wapo wapi hakuna
Sent using Jamii Forums mobile app
We nae kila jambo ubishi ambao hauna kichwa wala miguu Sawa nimekuelewaUchafu wa siasa unapodhuru watu huo ni uhalifu sio mchezo wa siasa Tena.
RImeshajulikana kama hawa wapendwa wetu wameshatoweka duniani?