beby ake mama
Member
- Aug 10, 2016
- 69
- 31
kuna tatizo linanisumbua na cjui nilitatue vpi, tatizo langu ni kudumu kwa mda mrefu kwenye mahusiano na mwanaume ambaye cimpendi /hayupo moyn mwang. Ikitokea NIKIMPENDA tu! cwez kudumu naye tena lazma nimuache mda mfupi tu nikikaa naye sana sizidishi miez6 cjui tatizo langu lipo wapi ushaur wenu plznitazingatia
cjawah kuachwa hata mara mojaWe ushawahi kuachwa?
jaman nishaur nifanyeje ili nidumu na yule nnae mpenda maswal hayatansaidiaMmh..vipi umeweza kumwambia yule jamaa unampenda? ?
Unamaanisha jana tu umemwambia akakubali kuamkia leo mmeachana???jaman nishaur nifanyeje ili nidumu na yule nnae mpenda maswal hayatansaidia
huyo bado cjamwambia natafuta kinga ili nicje kumuacha sabab kila nnae mpenda sidumu naye ila nicpo mpenda tutadumu naye miaka mingUnamaanisha jana tu umemwambia akakubali kuamkia leo mmeachana???
mackinii hata ujansaidia chochotePole subiri uachwe na wewe then tatizo lako ndiyo litakwisha
Najiuliza swali inakuwaje unadumu naye na haumpendi/ hayupo moyoni mwako?Kuna tatizo linanisumbua na sijui nilitatue vipi, tatizo langu ni kudumu kwa muda mrefu kwenye mahusiano na mwanaume ambaye simpendi /hayupo moyoni mwangu.
Ikitokea NIKIMPENDA tu! siwezi kudumu naye tena lazima nimuache muda mfupi tu, nikikaa naye sana sizidishi miezi 6. Sijui tatizo langu lipo wapi ushauri wenu plznitazingatia
Kuna tatizo linanisumbua na sijui nilitatue vipi, tatizo langu ni kudumu kwa muda mrefu kwenye mahusiano na mwanaume ambaye simpendi /hayupo moyoni mwangu.
Ikitokea NIKIMPENDA tu! siwezi kudumu naye tena lazima nimuache muda mfupi tu, nikikaa naye sana sizidishi miezi 6. Sijui tatizo langu lipo wapi ushauri wenu plznitazingatia
Pole eeh beby yake mama. Njoo pm tushauri maana this is serious case na inahitaji serious actions.huyo bado cjamwambia natafuta kinga ili nicje kumuacha sabab kila nnae mpenda sidumu naye ila nicpo mpenda tutadumu naye miaka ming
Kama nna tatizo je, nitalitatuaje? maana nackiaga ukiachwa na umpendae huwa unapata donda ndugu kwahyo mm hua najiwah kabla cjalipata sabab naogopa maumiv ya map**nz nackiaga ni machungu eti!Yaani wewe ndio unaacha mwenyew kwa hiari yako bila kulazimishwa na mtu afu unajihis unatatizo mhh. tatizo lipo kwako mwnyewe
Jibu hilounampenda mtu halafu unamuacha? ?????
kwanini unamuacha sasa na wakati unampenda ? au unapenda vimeo havibebeki?
kitandani ziro
wallet negative
future uncertain
sura ya mamba etc
Kama nna tatizo je, nitalitatuaje? maana nackiaga ukiachwa na umpendae huwa unapata donda ndugu kwahyo mm hua najiwah kabla cjalipata sabab naogopa maumiv ya map**nz nackiaga ni machungu eti!