Nikimpata mchumba JF nina maswali kichwan...!

Maalim Jumar

JF-Expert Member
Dec 28, 2010
1,259
117
Nazitanguliza heshima kwenu JF members!
Wapo watanielewa vzur pia wapo watakua hawanielewi kwa kile ntaeleza...
Ikitokea nimempata mchumba wangu wa dhati na upendo mwema kati yetu me/ke..
Maswali ni haya:
1-Tukipata mtoto tutampa historia tulivyokutana JF?
2-Siku tukigombana/kutafautiana nan ataeanza kumlaumu mwenzie?
3-.....................
4-.....................
Nisaidieni mawazo mwenzenu!
 
1.Kwanini msimpe...kwani kukutana JF ni aibu!??
3.Atakaeanza kumlaumu mwenzake ni yule aliyekosewa.Alafu mpaka mlaumiane kwani mlilazimishwa kua pamoja???
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nazitanguliza heshima kwenu JF members!
Wapo watanielewa vzur pia wapo watakua hawanielewi kwa kile ntaeleza...
Ikitokea nimempata mchumba wangu wa dhati na upendo mwema kati yetu me/ke..
Maswali ni haya:
1-Tukipata mtoto tutampa historia tulivyokutana JF?
2-Siku tukigombana/kutafautiana nan ataeanza kumlaumu mwenzie?
3-.....................
4-.....................
Nisaidieni mawazo mwenzenu!
Mkuu ndio ushaangalia yale mambo yako nini!?
 
Nazitanguliza heshima kwenu JF members!
Wapo watanielewa vzur pia wapo watakua hawanielewi kwa kile ntaeleza...
Ikitokea nimempata mchumba wangu wa dhati na upendo mwema kati yetu me/ke..
Maswali ni haya:
1-Tukipata mtoto tutampa historia tulivyokutana JF?
2-Siku tukigombana/kutafautiana nan ataeanza kumlaumu mwenzie?
3-.....................
4-.....................
Nisaidieni mawazo mwenzenu!

Maalim bana sasa ule mpango wa pilau uliahirisha tena ndo unamtaka wa JF?? Unaniangusha sana bana hebu twende chemba unieleze kisa na mkasa
 
Usinikatishe tamaa bwana mi nipo kwenye mchakato wakutafuta mchumba toka jf! Naamini wa jf wengi wao wana iq yakutosha!

Swali lako ni la matokeo baada ya kuoana na kuwa na familia, hivyo ni wazo lako ni la dhahania zaidi!!
 
Maalim bana sasa ule mpango wa pilau uliahirisha tena ndo unamtaka wa JF?? Unaniangusha sana bana hebu twende chemba unieleze kisa na mkasa

Dena we ni noma nimecheka mpaka basi, lol unakumbukumbuku kama mtoto wa miaka mitano asee
 
Maalim bana unajiuliza kwanini? Humu mbona wamejaa ... uelewa wa aina zote.
kwan hawa wana matatizo?
 
Back
Top Bottom