Benokolongokonongose
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 213
- 53
Habarini wakuhuu wenzangu. Mwanangu ana mwaka 1 na miezi saba ila hataki kula chakula yeye ni kunyonya tu. Minyoo hamuna. Nifanyeje?
umri wa kunyonya bado haujafika tamati..!
afya ya mtoto hujengwa kwa maziwa ya mama mostly!
nakushauri uendelee kumnyonyesha mpaka atakapofikisha miaka miwili na nusu!!!
hapo ujue akili yake ndio itakuwa njema!! (iam not a doctor either!.. nimeshauri tu kutokana na experience wadau!)
Nashukuru