mutisya mutambu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2010
- 208
- 82
Tafuna vizuri maana mechanical digestion yote inaishia mdomoni kwa hiyo usipotafuna chakuka kikishafika ndani hakuna kitakachoendelea kitatolewa kama kilivyo, chemical digestion itafanyika kwa kile chakula ambacho kimeshavunjwavunjwa tu.Habari wakuu, si mnajua siku hizi ni mwendo wa masinki tu huku kitu unakiona kabla hujakisindikiza na maji..
Sasa unavoona maharage yakiwa mazima kabisa tatizo ni nini?
Tafuna vizuri maana mechanical digestion yote inaishia mdomoni kwa hiyo usipotafuna chakuka kikishafika ndani hakuna kitakachoendelea kitatolewa kama kilivyo, chemical digestion itafanyika kwa kile chakula ambacho kimeshavunjwavunjwa tu.
KweliTafuna vizuri maana mechanical digestion yote inaishia mdomoni kwa hiyo usipotafuna chakuka kikishafika ndani hakuna kitakachoendelea kitatolewa kama kilivyo, chemical digestion itafanyika kwa kile chakula ambacho kimeshavunjwavunjwa tu.
Huwa unameza hautafuni.. kuna siku utameza mua then utauokota kwenye sink..
.....chunguza vizuri, itakuwa ni kokoto za msoga !Habari wakuu, si mnajua siku hizi ni mwendo wa masinki tu huku kitu unakiona kabla hujakisindikiza na maji..
Sasa unavoona maharage yakiwa mazima kabisa tatizo ni nini?
Anashangaa kunya Maharage mazima lakini hashangai kumeza Maharage mazima!Aliyeelewa anieleweshe plz
Kama ya kupanda shambani..Unameza maharage mazima mazima mkuu???