Nikikumbuka naumia sana

Jamaa akirudi tena kumuomba msamaha atamsamehe tena...bibiye anahuruma sana...usiwe baba huruma sawa?
 
Yaani mtu unafuatilia papuchi kama wafuatilia kuvutiwa umeme kwenye nyumba yako TANESCO "...... daaahh kuna watu mnavipaji"... kwanza Mimi mapenzi yakubembeleza mtu nilishashindwaga zamani sana"..= ndio maana huwaga nahangaika na misambinungwa wenzangu tu"...una approach leo unapewa ahadi ya mechi" kesho kutwa unakwenda kutibua vuzi
 
Sijui siku hizi nyinyi watoto huko chuo munafundiswa nini, i have gone thro your story and it seems you are not a CRITICAL THINKER. kwanza kabisa namupa huo binti hongera kwa kukataa sex till marriage, ila wewe ulikuwa unata na unaenda kanisani, lakini nije sababu ya kusema you are not a critical thinker, sasa mkuu unajua kuwa huyu binti alikuwa anakosa kukuambia UKWELI KUWA AKO NA MTU MUDA HUO WOTE, na hilo naona huyu binti ni mtu ambae SIO WA KUAMINIKA, maana kaa ni mtu wa kweli angekwambia wazi ako na mtu, na wala sio uongo ati nangoja hadi ndoa ndio sex, binti MUONGO. sasa mkuu baada ya kujua vile alikuwa anakuchezea YOU STILL HAVE THE GUTS TO ENTERTAIN HER WITH HER CALLS AND HER ASKING FOR FORGIVNESS AND REQUESTING YOU TAKE HER BACK, and all this after SHE HAS ARLEADY BECAME A MOTHER????????????????????????????????????? pls try and ENGAGE YOUR BRAIN, put your brain to work, nice weekend.
 
We mpare unatoka bwambo vugwama au vudee? Au suji?

Pumbavu.

Unafukuzia uchi utadhani madini.

Ndio sabato inakufundisha hivyo?
 
Write your reply...we ni boya sana ulishindwaje kumtafuna kabla ya yote

hakuna. kuhudumia kabla ya kutafuna


ushauri wangu uko tofauti kidogo
mkubalie halafu mtafune kulipa machungu halafu piga chini na yeye aonje joto la jiwe
 
Miaka miwili imepita saiv, toa mrejesho basi or kaa vip futa uzi wako
 
Umeonesha uanaume kweli kweli ukifanya mistake ya kurudiana na huto Reject utakuwa umekosea sana.
 
Wewe mtoa mada kama kisa chako ni ukweli ni aina ya wavulana wajinga na sampo yako ni ya watu wanaoweza kujinyonda
Mimi nimewah kudate na mwanamke tena alinipenda saaana na tukawa tunasapotiana sio eti mm ndo nasapoti tuu noo,kiufupi maisha yake ya mahusiano yamekuwa ni mtihanai sababau yangu kwa vile tu alinicheat,nilimwambia asije fanya kitu nisichopenda akajua utani hadi kesho ananilaumu eti nimemuharibia maisha..mm huwa sirudi nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…