Nikikumbuka nacheka sana

Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
14,925
31,850
...jeshi la Kenya linaweza kua kubwa Ila lina vimbwanga.
.
Nakumbuka waliingiliwa na matererorist kny mall...eti the wakaenda na mavifaru kuwatoa.... :p
 
...jeshi la Kenya linaweza kua kubwa Ila lina vimbwanga.
.
Nakumbuka waliingiliwa na matererorist kny mall...eti the wakaenda na mavifaru kuwatoa.... :p
Katika situation kama hiyo vifaru vinatumika kama ngao ya kujikinga na risasi au mabomu
 
Katika situation kama hiyo vifaru vinatumika kama ngao ya kujikinga na risasi au mabomu

Asante mkuu kwa kunielewesha... Ila kunahitaji measures nyingine au tactics...kupigana na Hao Jamaa leo ISS wa uarabuni wakiija utawabomoa
Na vifaru?... Nakutania... Nakubaliana na wewe labda moja ya nbinu ni vifaru
 
Usisahau waliposhindwa kuwakamata magaidi waliamua kulipua jengo, halafu wakasepa.

Aksari wakaanza kupora mabia, masoda yaani full aibu
 
Back
Top Bottom