Nikifanyeje hichi kidemu

Ili tuelewane kwanza acha kuchekacheka.
Pili dont trust on everything you see.
Sometimes we seek relief from real life stresses on social medias.
So don't take it serious like that.
Nukta.
WE CHOKO NINI WE MTOTO!
 
hivi una akili timamu kweli?
 
Kama kweli huyu dogo ni soja basi jeshi letu siku hizi linaajiri vijana wazembe sana ndio maana kuna mjeshi mmoja niliwahi kushuhudia anapigwa na mlevi wa pombe za kienyeji huko mkoani Tabora mpaka ikabidi ninunue ule ugomvi nikamtandika yule mlevi wakati huyo msoja anajikongoja kunyanyuka asimame aanze kuwapigia simu wenzake watoke kambini waje kumsaidia wakakuta nishamchapa kisawasawa yule mlevi nikamwambia asepe wasimkute hapo
 
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
Duuh yaani threah moja ya kuomba ushauri katika masuala yangu binafsi yasiyohusu jeshi la Tanzania.
Wewe umeenda kulihusisha jeshi na wanajeshi wake.
Hongera mkuu.
Ila yasikie kwa wenzio na omba yasikukute.
 
Binadamu ni kiumbe wa ajabu saana saana saana.

Nimeomba ushauri,ukiona niliyoyaandika na mawazo yangu ni utoto wewe endelea na utu uzima wako pamoja na busara zako za kikubwa.

Nilivyokuwa nasoma nasoma comments za thread hii .
Nimebaki nikicheka sana.
Yawezekanaje Tanzania tukawa namna hii.
 
18 Years old but you're stupid asf.
Mtoto wa kike anapelekwa chumbani ili awe huru sio sehemu yoyote ile sababu wanajali sana kuhusu mitazamo ya watu. Bila shaka anakuona mjinga. Grow The F Up.

Sent from my G011A using JamiiForums mobile app
 
Samahanin niko nje ya mada hivi dem inatakiwa ipite mda gan baada ya mtongozo ndo uombe game dem asijekuona ww ni pussy monger
 
Wew kwa maelezo yko bdo hujakuwa vzr aisee


Et

"Basi kigiza kilivyoingia nikawa nakiconvice tunyonyane mate but kikawa kinaleta upingamizi hapo tu but kwenye mipapaso nilifanikiwa kukishikashika.
Nikawa nimekimind siku hiyo nikaondoka zangu."
 
We unaona kama dada zetu ni vyombo vya kutikizia tamaa yako ya ngono tu ety eeh, Hebu acha kudhalilisha dada zetu, huyo dada anajielewa si saizi yako.
Pumbavu wewe.
 
Pumbavu mwe
We unaona kama dada zetu ni vyombo vya kutikizia tamaa yako ya ngono tu ety eeh, Hebu acha kudhalilisha dada zetu, huyo dada anajielewa si saizi yako.
Pumbavu wewe.
nyewe
 
We ***ga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…