Nikifa usifike msibani

kachonjo

Senior Member
Joined
May 25, 2018
Posts
161
Reaction score
198
Kitambo kidogo .Nafiki home baada ya kutoka umbali wa 10km .usafiri nilio kuwa Na tumia ni baskel aina ya fonex.
Nilibeba mzingo wa 120kg . Nikiwa njiani mvua ilinyenya kidogo ivo mataili ya lijaa tope .ikanibidi nisukume baskel Kila mara ilinibidi ni simamishe baskel Na kutoa tope kwenye taili.safari ilikuwa ngumu nilifika home mida ya saa 3 usiku .nikiwa nime choka.

Kipindi hicho afya yangu ilikuwa dhaifu.nilikonda ,nguvu sikuwa nazo.

Mke wangu ana Adi kaka yake ,shemeji yangu yu taabani

ivo ni mbebe kwa baskel ni umbali wa 5km ivi. Na mwambie mke wangu nimetoka umbali mrefu bila kupumzika.mvua imeninyeshea Sina nguvu .
wacha ni lale kesho asubui nitakupeleka.

Mke wangu ananuna .mdomo kaukunja. Basi namka mida ya saa 12 asubui .mke kitandani ayupo.

Nikajua itakuwa kawai kwao kuuguza Na ilikuwa ivyo.

Mama ananifwata home nikamsaidie kazi ya shamba.Nikiwa shamba Na kaka .mke Wang anakuja.ila ajabu ata akunisalimu .Moja kwa Moja akamsalimu kaka .Na kumwambia.

Mwambie mdogo wako shemeji yake AMESEMA AKIFA MDOGO WAKO ASIKANYAGE MSIBANI.

Kaka akuniambia yeye alikaa kimya. Zikapita siku tatu kweli shemeji akaaga dunia.

Basi nika wasili msibani.kwa tamaduni ya kabila langu. Unapo fika msibani lazima ukawape mkono wafiwa.

Nilipo fika kwa baba mkwe .baba mkwe akaniambia mbona mkeo anadai marehemu AKUITAJI WW UFIKE SIKU YA MAZISHI YAKE.


kiukweli shemeji yang alikuwa mpole sana mtaratibu ,mwenye upendo Na huruma. Kabla ajaenda kijijini .
Mimi ndiye niliye muuguza tena Mimi ndiye niliye kuwa Na mpakia kwenye baskel yangu kumpeleka hospital ata kwenye tiba shamba.
Iweje Leo kaacha usia wa Mimi nisifike siku ya mazishi yake.

Au mke wangu alimwambia kuwa mm nilikataa kumbeba kwenye baskel.au marehemu akutamka aya maneno bali ni maneno ya mke wangu.

Je marehemu akumbuki jinsi nilivyo muuguza.apa shemeji yang akuwa ivi aya ni maneno ya mke wangu.

Baba yangu alimaliza Na kuniambia mwanagu I .sijui nilikosea kuishi Na mama yako . Naishi maisha ya upweke.

Machozi yalinitoka akika baba ulikosea kumuoa mama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itakua haya makitu nimekula yanaweka Vitu upside down..
Nitasoma kesho

[emoji252] [emoji479]
 
Huyu jamaa nadhan alikua anasimulia story aliyosimuliwa na baba ake, Baba ndiye alieambiwa na kaka wa mke wake akifa asifike msibani lakini akikumbuka mema aliyomfanyia anagundua shemeji yake asingeweza kusema hivyo ndio maana kahitimisha kwa kusema

"Baba yangu alimaliza na kuniambia mwanangu sijui nlikosea kuishi na mama yako"

"Machozi yalinitoka hakika baba ulikosea kumuoa mama"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera kwa kuelewa..tueleweshe na wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona inaeleweka?
Jamaa alitoka safari ndefu na baiskeli akafika nyumbani yuko hoi sana, kufika tu mke wake anamwambia ageuze tena waende kwa shemeji yake umbali wa km 5, jamaa akasema wataenda asubuhi kwa kuwa amechoka sana... Asubuhi anaamka mke hayupo yeye akaenda shamba ........

Baadae shemeji akafa and so so...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…