Kitambo kidogo .Nafiki home baada ya kutoka umbali wa 10km .usafiri nilio kuwa Na tumia ni baskel aina ya fonex.
Nilibeba mzingo wa 120kg . Nikiwa njiani mvua ilinyenya kidogo ivo mataili ya lijaa tope .ikanibidi nisukume baskel Kila mara ilinibidi ni simamishe baskel Na kutoa tope kwenye taili.safari ilikuwa ngumu nilifika home mida ya saa 3 usiku .nikiwa nime choka.
Kipindi hicho afya yangu ilikuwa dhaifu.nilikonda ,nguvu sikuwa nazo.
Mke wangu ana Adi kaka yake ,shemeji yangu yu taabani
ivo ni mbebe kwa baskel ni umbali wa 5km ivi. Na mwambie mke wangu nimetoka umbali mrefu bila kupumzika.mvua imeninyeshea Sina nguvu .
wacha ni lale kesho asubui nitakupeleka.
Mke wangu ananuna .mdomo kaukunja. Basi namka mida ya saa 12 asubui .mke kitandani ayupo.
Nikajua itakuwa kawai kwao kuuguza Na ilikuwa ivyo.
Mama ananifwata home nikamsaidie kazi ya shamba.Nikiwa shamba Na kaka .mke Wang anakuja.ila ajabu ata akunisalimu .Moja kwa Moja akamsalimu kaka .Na kumwambia.
Mwambie mdogo wako shemeji yake AMESEMA AKIFA MDOGO WAKO ASIKANYAGE MSIBANI.
Kaka akuniambia yeye alikaa kimya. Zikapita siku tatu kweli shemeji akaaga dunia.
Basi nika wasili msibani.kwa tamaduni ya kabila langu. Unapo fika msibani lazima ukawape mkono wafiwa.
Nilipo fika kwa baba mkwe .baba mkwe akaniambia mbona mkeo anadai marehemu AKUITAJI WW UFIKE SIKU YA MAZISHI YAKE.
kiukweli shemeji yang alikuwa mpole sana mtaratibu ,mwenye upendo Na huruma. Kabla ajaenda kijijini .
Mimi ndiye niliye muuguza tena Mimi ndiye niliye kuwa Na mpakia kwenye baskel yangu kumpeleka hospital ata kwenye tiba shamba.
Iweje Leo kaacha usia wa Mimi nisifike siku ya mazishi yake.
Au mke wangu alimwambia kuwa mm nilikataa kumbeba kwenye baskel.au marehemu akutamka aya maneno bali ni maneno ya mke wangu.
Je marehemu akumbuki jinsi nilivyo muuguza.apa shemeji yang akuwa ivi aya ni maneno ya mke wangu.
Baba yangu alimaliza Na kuniambia mwanagu I .sijui nilikosea kuishi Na mama yako . Naishi maisha ya upweke.
Machozi yalinitoka akika baba ulikosea kumuoa mama
Sent using
Jamii Forums mobile app