Battery low
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 315
- 27
Wakuu naombeni msaada wenu natumia nokia6120c ila nikidownload whatsapp inaanza kunambia utumbo huo wkt cm yng ina memory ya kutosha tu na ina app 2 tu operamini&uc browser na pia nishawahi kuifuta operamini lakn bado tu inanambia hvy but nikilazmish hvy hvy inakubali ku operate then baada ya muda kidogo simu inakuwa haiplay kitu chochote na wala nikiingia net haikubali na mesej haziingii mpaka niifute hyo whatsapp,je tatizo ni nini haswa wandugu?