Nikidownload whatrapp>general memory full delete some app and try again

Nikidownload whatrapp>general memory full delete some app and try again

Battery low

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
315
Reaction score
27
Wakuu naombeni msaada wenu natumia nokia6120c ila nikidownload whatsapp inaanza kunambia utumbo huo wkt cm yng ina memory ya kutosha tu na ina app 2 tu operamini&uc browser hlf nikilazmish hvy hvy inakubali ku operate then baada ya muda kidogo simu inakuwa haiplay kitu chochote na wala nikiingia net haikubali na mesej haziingii mpaka niifute hyo whatsapp,je tatizo ni nini haswa wandugu?
 
Simu yako ina storage na RAM ndogo sana kwa sababu waliirelease 2007 ambapo kulikuwa na simu chache sana zenye uwezo mkubwa. Ina 32mb tu za Internal na RAM ya 6mb. Hiyo ni kwamba whatsapp inatumia kiasi cha RAM kilichobakia na yenyewe ni running process kwa hiyo ipo background muda wote. Ni vizuri kama hutaiweka maana lazima hili tatizo litokee.
 
Dah nimekuelewa mkuu lkn mbna wameweka whatsapp for s60v3 sasa hii itakuwa ya kaz gan wakti ndo inasumbua hvyo
 
Namuungamkono DreamChaser Hata mimi nilikuwa na simu ya Sonnyericsson satio tm ambayo inatumia OS ya Symbian S60v3 nanilikuwa nasumbuliwa sana na tatizo hilo mpaka nikaamua kuachana nayo.Nafikiri simu hizi zimepitwa na wakati kidogo haziwezi ku-run hizi program ambazo zinafanyakazi muda wote na zinataka regular updates.
 
Swadakta mkuu.
 
Mm ninachojiulza ni kwnn wameitengenezea OS s60v3 whatsapp wkt wanajua kuwa haisupport?
 
Siyo kwamba haisupport mkuu. Hii simu aliyoitaja ndugu yetu hapo juu ni ya zamani na specs zake ni ndogo. Kuna s60v3 nyingi zilizofanya vizuri na kukubalika kama E71, E63, E72. Mwaka jana nilikuwa na e71x na niliitumia bila tatizo lolote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom