Mkuu,Sasa si ungekuja na ID yako ya kila siku. Hivi vitu sio vya kuvionea aibu
NENDA DIPLOMA
Nenda usome certificate ya sheria au hr sifa unazo maana una credit 5, na hiyo english ndiyo inakubeba sana pia hiyo bookeeping kwenye uhasibuNimehitimu kidato cha nne 2018,
Nilipata Division 4 ya 27, Kiswahili c, Gepgraphy F, English C, Biology D, commerce F, Book- keeping D, civics C, Maths F, History F.
Naomba ushauri nikasome nini.
Wewe unapenda kusoma Nini?, Jibu Kwanza utapewa ushauriNimehitimu kidato cha nne 2018,
Nilipata Division 4 ya 27, Kiswahili c, Gepgraphy F, English C, Biology D, commerce F, Book- keeping D, civics C, Maths F, History F.
Naomba ushauri nikasome nini.
Hizo kozi, mathematics na commerce ni Kama zimekuangushaNapenda kusoma courses za biashara