Nikaribisheni kwa Zulia Jekundu . .. .

Nikaribisheni kwa Zulia Jekundu . .. .

Karibu CPU, mzee wa vina na mizani!

Haya ndio majibu ambayo mgeni akiyapata anapokaribishwa ugenini hujiona kama AMEFUTIWA DHAMBI ZOTE na Mungu, au kama vile ana tiketi ya kuishi milele duniani

Thumbs UP Mr Rungu! I salute U:clap2::clap2::clap2::A S 41::A S 41::A S 41:
 
mmmhh lol
haya mkuu baada ya wiki moja lakaini lol..

sasa CPU nini kwa kirefu??
na ninja kaenda wapi??

Mmmmh! Kirefu cha CPU inategemea nani anaeuliza. Mfano kwa wewe nitakujibu Chukue Penzilangu Ufaidi
Ninja yupo tu, umempenda ninja kuliko hawa wanaon'gatana? Nimrudishe?
 
Mmmmh! Kirefu cha CPU inategemea nani anaeuliza. Mfano kwa wewe nitakujibu Chukue Penzilangu Ufaidi
Ninja yupo tu, umempenda ninja kuliko hawa wanaon'gatana? Nimrudishe?

mmmmmhhh wewe hicho kirefu duuuhhhh
haya ngoja ni mezee tuuu..mmhh

mmmhh mie borea ninja kuliko huyo Mr. Been alifunikwa macho na skert.....lol
 
mmmmmhhh wewe hicho kirefu duuuhhhh
haya ngoja ni mezee tuuu..mmhh

mmmhh mie borea ninja kuliko huyo Mr. Been alifunikwa macho na skert.....lol

AD, Ipo siku hii picha yangu itageuzwa THREAD
 
Karibu jamvin kuwa makini karibu ufurahi na kujidai
jamvi lataka ujasiri sio usiri.
 
sijawai ona hiki,sina mbavu dah!!
naamini utaliweza ili jamvi
 
Kimwana una macho ya huruma
Unaponiangalia mimi moyo umechechemea
Nikuonapo njiani Mate n‟nakumezea
Najiinamia chini kusema sijazoea

Mimi niwe na furaha Moyo wangu unapenda
Sina haja ya karaha Mtoto nimekupenda
Unijazie furaha Ili nisije kukonda
Nipapase nikupapase Nikushike kwa mahaba
Sitopenda nikukose Wewe unipe pendo la huba


Nategemea upendo kutoka kwenu
Mr Chota Pesa Utumie (CPU)

CPU karibu,japo mwenyeji.........................avatar yako CPU na hizo beti..........
 
Ndugu yangu, Peeeeeeeesa zachotwa kwa Mkulo, Hazinaaaaaaaaaaaaaa! Muulize Roho-Si-Tamu La Ajizi

Karibu ndugu, lakini chonde chonde badilisha pa kuchotea pesa, hazina wamebakiza za kuilipa Dowans na mikataba yooooote mibovu itakayovunjwa bila kufikiria mara mbili.
 
Back
Top Bottom