CPU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 3,863
- 686
Kimwana una macho ya huruma
Unaponiangalia mimi moyo umechechemea
Nikuonapo njiani Mate n‟nakumezea
Najiinamia chini kusema sijazoea
Mimi niwe na furaha Moyo wangu unapenda
Sina haja ya karaha Mtoto nimekupenda
Unijazie furaha Ili nisije kukonda
Nipapase nikupapase Nikushike kwa mahaba
Sitopenda nikukose Wewe unipe pendo la huba
Nategemea upendo kutoka kwenu
Mr Chota Pesa Utumie (CPU)
Unaponiangalia mimi moyo umechechemea
Nikuonapo njiani Mate n‟nakumezea
Najiinamia chini kusema sijazoea
Mimi niwe na furaha Moyo wangu unapenda
Sina haja ya karaha Mtoto nimekupenda
Unijazie furaha Ili nisije kukonda
Nipapase nikupapase Nikushike kwa mahaba
Sitopenda nikukose Wewe unipe pendo la huba
Nategemea upendo kutoka kwenu
Mr Chota Pesa Utumie (CPU)