venancehamza
Member
- Jun 8, 2025
- 34
- 59
Shukran.
Nenda mahakama kubwa mfano ya wilaya nk, tafuta karani yyte atakusaidia kukugongea mhuri hizo karatasi zote haizidi msimbazi, kuwa convincingly mkuu.Niliambiwa ni 20k kila cheti mkuu, nipe utaratibu kaka.
Akaze, lasivyo kazi ata pata na shida zake za nyuma zita tatuliwa.
Afanye kazi kwa bidii ila pia cha kumwambia afanye kazi za kuvuja jasho mkuu
Kama ufanyazo mkuu si ndio?Afanye kazi kwa bidii ila pia cha kumwambia afanye kazi za kuvuja jasho mkuu
Aisee akazeAkaze, lasivyo kazi ata pata na shida zake za nyuma zita tatuliwa.
Mkuu ebu kuwa na heshima kwani mi nafanya nn mpaka aige kwanguKama ufanyazo mkuu si ndio?
Kijana wa kuigwa naomba kaziMkuu ebu kuwa na heshima kwani mi nafanya nn mpaka aige kwangu
Khaaa kazi gani hiyo mkuuKijana wa kuigwa naomba kazi
Kubeba zege na kupanda nalo ghorofaniKhaaa kazi gani hiyo mkuu
Duuuh mkuu kweli unataka kuvuja jasho dadekKubeba zege na kupanda nalo ghorofani
Yaani hakuna kupumzikaDuuuh mkuu kweli unataka kuvuja jasho dadek
Ahahahhaha assume unafanya kazi ya zege alafu ukawa unategea.. just imagine yale matusiYaani hakuna kupumzika
Unaweza tamani uue mtu Ila inabidi kukaza tuu mwananguAhahahhaha assume unafanya kazi ya zege alafu ukawa unategea.. just imagine yale matusi