Nikaona nipake mate..

Bin Kawambwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2012
Posts
483
Reaction score
364
Nilianza kumchezea kwa upole sana bila tabu! Si ndio nikaanza kulamba!.. Mtoto ametulia tu! Nikalamba tena bado mtoto yupo tuli. Nikaona nipake mate ili nilambe vizuri! Ile nalamba tu si ndio akatoa mavi ikabidi niache kulamba!!!

"Karata bwana Mchezo wa ajabu sana."
 
umetumia lugha ya picha au umemaanisha
 
Kaka umepotea chumba? Chumba chako ni kile pale juu.
 
Taifa linaangamia, vijana hawana busara na hekima za baba na babu zao.
 
me nimecheka na nimeipenda anayetaka busara na hekina kuna vyumba vingi
 
Nadhani hii ni ya Jukwaa la jokes...plz mods itendee haki stahiki thread hii...
 
What make me laugh are the comments πŸ™‚) πŸ™‚) πŸ™‚)
 

haahhhaaaa! Uwiiiiiiiiiwiiii! Nayo hungeramba hingekuwa mzuka
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…