Afrika Furaha
JF-Expert Member
- Dec 16, 2010
- 329
- 10
And you are telling us because......?
its udaku
Unajua maana ya neno udaku lakini?
.. sasa alipotoa hayo MAVi si ungeyakata na KISU halafu ungemmaliza kabisa na JEMBE!!!!!! karata bana RAHA tupu
Tulianza kama utani. Awamu hii tulikuwa kitandani. Nikimgeuzia huku yumo nikibadili mchezo yumo. Duh! Imekula kwangu leo! Nikampa viwili vya fasta kwanza kisha nikamuuliza "UNA MAVI . .?". Akasema hana, si nikaanza kulamba. Ile nalamba tu akatoa mavi, Bwana eeh! Yaani sio fair kabisa, huu mchezo wa karata wa last card . . .
Feliz Navidad to all JF Members
kaka moja jumlisha moja ngapi?
Kumi na moja
kama uko dar nenda ubungo panda basi moja linaitwa shabiby shukia dodoma jamatini kisha nenda sabasaba nyuma kuna usafiri wa mirembe hospital......una umwa wewe!
kaka ungempa kopa kwanza kuonyesha bado unampenda japo kakupa mavi ila kama kakuboa ungemchoma na kisu tu kwanini akudanganye hana mavi wakati anayo.
.. sasa alipotoa hayo MAVi si ungeyakata na KISU halafu ungemmaliza kabisa na JEMBE!!!!!! karata bana RAHA tupu
And you are telling us because......?
kaka moja jumlisha moja ngapi?
Hello! take it easy it is a good joke mwanzo nilidhani anaongelea mambo mengine hahaha!upuuzi mtupu....shiiiiit
Nadhani huna cha kufanya ndio maana unaandika pumba hapa, shame upon uuuuuuuuuuuuu, mody kama inawezekana please iondoe fastaTulianza kama utani. Awamu hii tulikuwa kitandani. Nikimgeuzia huku yumo nikibadili mchezo yumo. Duh! Imekula kwangu leo! Nikampa viwili vya fasta kwanza kisha nikamuuliza "UNA MAVI . .?". Akasema hana, si nikaanza kulamba. Ile nalamba tu akatoa mavi, Bwana eeh! Yaani sio fair kabisa, huu mchezo wa karata wa last card . . .
Feliz Navidad to all JF Members