Nikajua kujitolea ndio kuzingatiwa kupata ajira

GOYA MNANDA

JF-Expert Member
Aug 16, 2015
239
160
Mimi nimeitimu chuo miaka 10 iliyopita yaan 2012 niliamini kujitolea ndio njia sahihi ya kuzingatiwa katika ajira nikajitolea kuanzia 2013 adi 2018 katika taasisi mbalimbali za umma kwa uaminifu mkubwa akika nimejifunza mengi makubwa mahusiano kazin nk unaachiwa ofis ya umma unafanya kaz zote as if umeajiliwa ukikosa kwenda kazin kwa majanga yako unapigiwa simu adi unavurugwa.

Licha haya yote bado kujitolea ni kujitolea tu maana hauna uwakika wa kesho yako posho sio ya uwakika na majukum ni mengi sana nimejifunza mengi sana maana kujitolea local government unajifunza mengi mno pamoja na hayo nimshukuru Boss wangu alikua ananipa 5000, 3000 kila siku akijahaliwa kutoka mfukon kwake allah amlipe yule ndugu akika amenisaidia sana.

Kujitolea kumenifanya niijue taalum ya manunuzi na ugavi (procurement) kwa kiwango kikubwa kitendaji aswa Stores maana pilika za store sio poa imenijenga sana licha kuwa bado nipo tu mtaan napambana na mengine,niliendelea kujitolea adi nilipoamua kutaka kuingia kwenye masuala ya familia ndipo nikaamua kwa hiyar yangu kuacha na kuanza harakat zangu mtaan

Tusichoke kujitolea utapata uzoef na kutengeneza connection mbalimbali

Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
 
Sasa hapo ueleweki unasema kujitolea ni kujitolea tu hata uzigatiwi kupewa ajira, tena hapo hapo unahimiza vijana kujitolea.
 
Mjinga sana wewe, unaacha kuangalia mambo yako hata kujiajiri kwa kuuza ubuyu we unaona fahari kuamka alfajiri kwenda kazini kujitolea mwenyewe unaoshea wenzako utadhani Mungu atakuongezea muda wa kuishi vile.

Wewe ni kubwa jinga tangu 2010 umemamaliza chuo unaota kuajiriwa wakati wenzako waliomaliza 2018 tayari wamejiajiri wametoka kimaisha. Usisubiri ajira jiajiri tu ajira ikifika zamu yako utapata tu.
 
Elimu yako itakua kama yangu sema mie nimeishia la saba A, wewe la saba B sijui umeandika nini!
 
Dah ...miaka yote hiyo unajitolea?.. hii nchi imejaa washenzi hivi bado unaamini ipo siku utaajiriwa?.....AISEE POLE SANA ...IMANI YAKO IMEKUPONZA WALLAH.
 
Mimi nimeitimu chuo miaka 10 iliyopita yaan 2012 niliamini kujitolea ndio njia sahihi ya kuzingatiwa katika ajira nikajitolea kuanzia 2013 adi 2018 katika taasisi mbalimbali za umma kwa uaminifu mkubwa akika nimejifunza mengi makubwa mahusiano kazin nk unaachiwa ofis ya umma unafanya kaz zote as if umeajiliwa ukikosa kwenda kazin kwa majanga yako unapigiwa simu adi unavurugwa.

Licha haya yote bado kujitolea ni kujitolea tu maana hauna uwakika wa kesho yako posho sio ya uwakika na majukum ni mengi sana nimejifunza mengi sana maana kujitolea local government unajifunza mengi mno pamoja na hayo nimshukuru Boss wangu alikua ananipa 5000, 3000 kila siku akijahaliwa kutoka mfukon kwake allah amlipe yule ndugu akika amenisaidia sana.

Kujitolea kumenifanya niijue taalum ya manunuzi na ugavi (procurement) kwa kiwango kikubwa kitendaji aswa Stores maana pilika za store sio poa imenijenga sana licha kuwa bado nipo tu mtaan napambana na mengine,niliendelea kujitolea adi nilipoamua kutaka kuingia kwenye masuala ya familia ndipo nikaamua kwa hiyar yangu kuacha na kuanza harakat zangu mtaan

Tusichoke kujitolea utapata uzoef na kutengeneza connection mbalimbali

Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
Una ujasiri mkubwa miaka yote hiyo
 
Back
Top Bottom