foleni mbaya DAR uwe unaishi Mwenge kisha ukajichanganya unatokea Buguruni ukapita MANDELA Rd, halafu iwe week days, unakutana na foleni kuanzia external, na kwambia si chini ya dakika 70 utasimama kwenye hilo eneo, mpaka ukivuka , utakua umetukana matusi yote dhidi ya trafiki wa pale mataa.
matusi hayasaidii kwani foleni imeshakutengeneza tu! wahi kutoka home asbh mapema na kurudi home chelewa kiasi, pitia gym au nenda gymkhana!utakua umetukana matusi yote dhidi ya trafiki wa pale mataa.
Wote tukifanya hivyo si tutahamisha muda wa foleni......??? FANYA KAZI POSTA, MWENGE, MASAKI, HALAFU UNAISHI KIGAMBONI. Asubuhi na jioni unapishana na folenimatusi hayasaidii kwani foleni imeshakutengeneza tu! wahi kutoka home asbh mapema na kurudi home chelewa kiasi, pitia gym au nenda gymkhana!
Pape,matusi hayasaidii kwani foleni imeshakutengeneza tu! wahi kutoka home asbh mapema na kurudi home chelewa kiasi, pitia gym au nenda gymkhana!
Mbagala
utafikaje Kitunda kirahisi, wakati Dakika 45 unaweza kutumia kuvuka kati ya air port maarufu kama Posta hadi banana...au kitunda kabisa ajiwekee na facilities zote nyumbani kwake
utafikaje Kitunda kirahisi, wakati Dakika 45 unaweza kutumia kuvuka kati ya air port maarufu kama Posta hadi banana...
labda kama baada ya kuwa na facilities zote unaanzisha mradi wa kuku....
ARE YOU SERIOUS......??? KITUNDA.....!!!!!!!!! Hakiyanani tena waleee jamaa wata-WIPE familia yako............. YAANI WEWE UNA FACILITIES ZOTE HALAFU YEYE AHANGAIKE NA MAYAI..............au kitunda kabisa ajiwekee na facilities zote nyumbani kwake
ndo maana naamini kuwa , Dar inabarabara ambazo zimeshindwa kabisa kukidhi ongezeko la wakazi wake.!hahaaa sasa kuku nao kuwaleta sokoni...tunarudi pale pale
ni masikitiko kwamba hakuna sehemu utakayoishi kuepuka foleni kwani hata ukiishi city center bado utahitaji kwenda hospitali au sehemu nyingine na kote waweza pata foleni except usiku mnene
mipango miji bado... tunasubiri kubomoja 10 year from now kama kawa
sasa usiombe viongozi wakiwa wanapita humo mabarabarani, utaona rangi zote
kuna mipango miji wa kila wilaya, tangu uhuru, hakuna vision ktk kazi zetu, kama mipangowangetimiza wajibu wao tangu baada ya UHURU bila shaka, leo watu wakipawa wasingekua kwenye udhalili wa kiwango kile, watu wakigamboni wasingefikia hapo walipofikishwa leo.Hizi ndio gharama za kuwapa watu wasio na akili wawe viongozi wetu. Tumeikubali system yetu mbovu ya utawala na sasa tunakula matunda yake. Kama tungekuwa tunao mfumo wa kuongozwa na wataalamu badala ya wanasiasa (ambao kimsingi hawana technical abilities za kutatua matatizo ) tungekuwa at least a middle class society with promising future.
As I see it now, makazi holela yanaongezeka, miundombinu hakuna, hii ni ground for further creation of slums. Inashangaza nchi yenye ardhi kubwa kaa Tz inakuwa na slums kana kwamba tu Rwanda ua Urundi with land shortages and highest population densities. THIS IS CRAZY and shows our STUPIDITY.
Nway, inasikitisha kuwapo ktk dying nation like TZ. 100% hopeless.