Nikabadilishe au nikaache kalivyo?

Nikabadilishe au nikaache kalivyo?

Kama ulishampenda kabla,,means alikuvutia kwa muonekano wake ,,yanini utake avae tofauti tena na mwanzoni
 
Mkuu kwa hiyo unamsaliti mkeo na wale wadogo zako wasiojua kupika wana wana wanawafanya hivyo hivyo kama wewe.
Kwahiyo ulidhani kwavile wadogo zangu hawajui kupika basi na mimi ni boya sihangaiki kupambana na huu uchumi wa kati?😆
 
Kama ulishampenda kabla,,means alikuvutia kwa muonekano wake ,,yanini utake avae tofauti tena na mwanzoni
Mkuu unajua sisi malejendari hua tunaweza kuiona dhahabu hata iwe kwenye rundo la mchanga. Hako katoto mi nilipokaona tu nilijua ni kazuri sana sema tu hakajakaa ki sista duu.
 
Kwahiyo ulidhani kwavile wadogo zangu hawajui kupika basi na mimi ni boya sihangaiki kupambana na huu uchumi wa kati?😆
Nikadhani labda unachunga ndoa... vipi hako kanajua kupika?
 
Bana nimenyaka kademu kamoja kakigoli (umri 20) mzigo nimeufungua mwenyewe kwenye makaratasi. Katoto ni kazuri, rangi ya mtume, kapo nachuro kanapaka vaseline tu, ngozi nyororoo haina doa, nywele kananyoa, tunyonyo kama embe bolibo hakavai ata bra, ka shepu ka kichokozi kiuno chembamba, nyuma lenzi mbinuko na miguu ya bia... kwakweli kananikosha sana kwa uzuri wake.

TATIZO

Sijui ni kwasababu ya utoto au ni ushamba, ila haka katoto bana kwenye swala zima la mavazi hakapo kabisa. Nikitaka kutoka nako out kanaweza piga m-sketi mmoja mkubwaaa na li blauzi au li tisheti la Man-Yuu. Au mgauni/kitenge kama kanaenda chechi. Yaani hua inabidi nijifiche sana nikiwa nako ili hata washkaji wasije wakaniona maana watacheka sana. Kiufupi ukikutana nako ghafla unaweza dhani ni beki tatu anafuata ndizi sokoni kwa jinsi kanavyovaa. Hakuna cha shepu, mguu wala nini kinachoonekana kwa huo uvaaji!

TATIZO KUBWA ZAIDI

Nimeshawaza sana kuhusu kukabadilisha kwa maana ya kukanunulia pamba za maana na kukapiga sopsop. Najua naweza zama shop au hata mtumbani nikakachukulia tops kali, jeans, visketi vya kijanja, accessories nk. Shida yangu ni kwamba, kwa jinsi kalivyo kazuri nikianza kukavalisha pamba lets say za kubana bana kidogo, kashepu kakachomoza, mguu ukaonekana, na ile rangi yake lazima mafisi yataanza kukasarandia!! Kwa jinsi kalivyo sasa, ni ngumu sana kwa mtu mwenye akili kukatokea na hiyo ndio pona yangu.

Sasa hebu nishaurini wananzengo, nikaache hivyo hivyo niendelee kukafaidi mwenyewe chumbani au nikaboreshe kidogo angalau niweze hata kutembea nako njiani?
mzee wewe kapendezeshe tu na sisi tule misele humo humo wewe uslisikia wapi kizuru kula peke yako?

kizuri kula na nduguyo bwana
 
Nikadhani labda unachunga ndoa... vipi hako kanajua kupika?

Mara nyingi nikichati nako mida ya jioni hua kananiambia kanapika so nahisi katakua kanajua au angalau kanajitahidi. Vinginevyo sijui maana hua tunakutana gesti so ni mwendo wa chipsi kuku na soda.
 
Kapendezeshe tu mkuu, hata usipokapendesha ipo siku katakuwa kajanja na katapendeza afu katakuona wewe si kitu, we pendezesha hayo ya kuchapiwa ni mengineyo...mtengeneze uwe huru kuwa nae mahali popote siyo unamficha ficha Kama nywele za kwapa.
 
😆😆😆😆😆
 
Kaache hivyohivyo siunajua mafisi wamejaa mtaani
 
Back
Top Bottom