kwa uzoefu wangu huyo msichana atakuwa ametoa mimba hivi karibuni, na hiyo ishu ya kudai ana mimba kibongo bongo hakuna mwanamke anayeweza akajua ana mimba katika siku kumi...ZINDUKA WEWE KAMA UMELALA..
huyo jamaa anadai alikutana kimwili siku ya kumi baada ya bleed,baada ya muda huyo mdada hakuona cku zake so inawezekana kweli?.mi bado cjajua ujue linataka kufanana na langu
Halafu wewe nimekumis ujue!!
huyo jamaa anadai alikutana kimwili siku ya kumi baada ya bleed,baada ya muda huyo mdada hakuona cku zake so inawezekana kweli?.mi bado cjajua ujue linataka kufanana na langu
mwanamke anaweza kushika mimba siku ya kumi toka amalize kubleed?
lea mimba acha ungese, ulidhani unakwea mnazi?
DNA itahusu badae
Siku 4, halaf ni kweli majimaji yenye ladha ya maziwa ni sahihi kutoka? Mbona sielew ?
Siku 4, halaf ni kweli majimaji yenye ladha ya maziwa ni sahihi kutoka? Mbona sielew ?
Angetaka kumnasisha angesisitiza matumizi ya condom? Msimtie ujinga. Mtoto ni Baraka, wanaotafuta watoto wakisoma humu wanatamani kulia.Acha ujinga, lea mimba. Hiyo maana yake ulitia mimba siku ya 14 ambayo ndiyo yenyewe. Ila kuna uwezekano alikuwa na mimba tayari ya mwezi 1 hivyo kakunasisha. Nenda kapime ujue ya muda gani. Ila kama hakuwa na mimba kabla au hakutoa mimba basi zigo lako kaka jibebe!
Siku ya 10 BAADA ya period ndio mahali pake. Nimekamua chuchu zangu sasa hivi, zimetoa maji maji meupe (ningekuwa na camera ningepiga picha nikuattachie) and l am not pregnant.
Simu yako haina Camera? Do ze needful tupate picha. Si unajua Vijana siku hizi tunajifunza
kwa picha zaidi!
Ninunilie iPhone 5 ili nisnap na kuattach video clip kwa uelewa wako zaidi.
Mpaka model umechagua.
Nitakununulia Xiping 10 mobile, hiyo mpaka ina sehemu ya kuweka flash na nail cuter!
It's deal then!
lea mimba acha ungese, ulidhani unakwea mnazi?
DNA itahusu badae
Ila mpaka niuze stock yangu ya mawese!