KUWEDA
Member
- Mar 5, 2013
- 41
- 6
Mambo vp wana jf? Naleta kwenu shida yangu nikiamini home of the great thinkers itanitatulia...
Sory kama nitakuwa nakiuka maadili ila sina maana mbaya...mwenzenu nina mchumba ambaye nimekuwa nae kwa muda wa takriban miez tisa mpaka sasa.,tangu nimpate miez kama sita na nusu hiv hatukuwahi kukutana kimwili mpaka ulipotimu mwezi wa 7 ndani ya uhusiano...tatizo ni kwamba mchumba huyu alivyokuja kwangu cku hiyo alidai anasiku ya kumi toka amalize mzunguko wake(period)alinisihi sana ni2mie kinga nisimuungilie hivihivi,sikukataa,mambo yalipoanza kama kawaida nilianza kumtafuta ni wapi akiguswa anasahau shida zote,wakati nafanya hivyo nilibahatika kunyonya chuchu zake but chakushangaza zile chuchu niliponyonya zilikuwa zinatoa dizaini ya majimaji yenye ladha ya maziwa nilishangaa kdogo,ila sikusema,muda ulipowadia nikazama ndani kuanza mechi,ubaya uliotokea ile condom ilipasuka na nilipopiga bao moja akakataa tena akiwaamefura hasira akidai kunauwezekano wa kushika mimba, INAENDELEA HAPO CHINI