Nijuzeni kima cha chini cha mishahara ya EWURA

fab280391

Senior Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
122
Reaction score
31
Habari ndugu,
Anayefahamu kima cha chini cha mshahara EWURA atujuze, pia kama kuna fringe benefits tofauti na mshahara. Mf. Dereva analipwaje pale EWURA?
 
Kule mfanya usafi tu analipwa 500K. We ulikuwa unataka position ipi?
 
Habari ndugu,
Anayefahamu kima cha chini cha mshahara EWURA atujuze, pia kama kuna fringe benefits tofauti na mshahara. Mf. Dereva analipwaje pale EWURA?

Kama dereva inategemea unamuendesha nani..kama unamuendesha mkurugenzi anayesafiri sana sana basi wewe kupata zaidi ya milioni kwa safari ya wiki ni kitu cha kawaida na hiyo ni nje ya mshahara wako wa laki 5 au sita
 
Okay.
 
Back
Top Bottom