mashishanga
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 611
- 429
Je Kuna diploma holder yeyote aliyeapply nacte mwez wa Tatu ambaye profile Lake linasema kachaguliwa chuo gani mana Jana sa tano ucku ndio profile Za diploma holder zilibadilika na kuandikwa provisionally selected usubir confimation, sasa swali je vyuo ambavyo vilikua vimeshatoa first na second selection watatoa na third round Za selection Za diploma Hawa wa sasa? Mana Kuna wengine kipind cha nyuma vyuo vyote majina Yao hawakuwepo ila Jana wamewambia provisionally selected,