ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,368
- 50,737
Wakuu kichwa cha habari kinaeleweka niambie chuo gani kinachoendesha kozi tajwa na ada yake nataka nijue kwa mwaka ni kiasi gani na chuo gani bei yake ni rahisi na kinachotoa mafunzo vizuri
Hv kna mikopo hko?Sengerema Cotc shilling million 3.6 kwa mwaka,KAM college M 4.5 kwa mwaka......RAO health training center M 3.1 kwa mwaka, Machame COTC M 3 kwa mwaka, vingine vizuri ni mvumi,Kolandoto,bumbuli,,rubya(bado kipya),Kampala,Decca, suye,karatu,tandabui.gisan,st aggrey, yaani ni vingi sana ila hivyo ni baadhi
Utasoma tuMkuu tutasoma kweli?
Certificate Na Diploma Hakuna Mikopo, Kulikuwa Na Mkapa Foundation Kwa Vyuo Vya Serikali Enzi Hizo,Hv kna mikopo hko?