kama unatumia mozilla firefox jaribu kuadd add-ons, nenda kwenye tools,thn add-ons halafu search for dwhelper,youtube downloader, au tumia generic keyword video downloader.... Ila kwa ushauri wangu kwanini usitumie hiyo hiyo internet dowload manager (idm) ni nzuri sana coz inadowload kila aina ya dowloadable file kutoka kwenye internet