Pelham 1
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 548
- 100
Wataalam mpo pouwaaa...
Ebwana mi nina Mpenzi wangu nampenda sana real frm my heart
Ananiambia ana mimba nimefurahi na nipotayari kwa hilo bt simuamini totaly maana najua Wadada warembo niwazuri kwa kufeki.
Mi sio mtaalam wa mambo ya mimba ni mara ya kwanza, Kuna mshikaji wangu aliniambia nitumie Pregnant test kuhakikisha bt nilivyomwambia Mpenzi wangu akujoe nifanye hiyo test akatosa nakuniambia haamini hiyo kitu yupo teyari twende hospital yoyote bt sio kutumia hicho kipimo.
Naombeni ushauri
Kwa wenye utalaam na hili.