Nijulisheni majukumu ya mtu mwenye bachelor degree ya HRM

monotheist

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
720
943
Ndugu wanajamiiforums wenzangu naomba mnijuze majukumu ya HUMAN RESOURCE MANAGEMENT.

Nasubiri majibu yenu.
Ahsanteni.
 
dhr,bhr hizi kozi utalala njaa kuajir na kufukuza siriaz siwez soma hizi kozi....
 
Ndugu wanajamiiforums wenzangu naomba mnijuze majukumu ya HUMAN RESOURCE MANAGEMENT.

Nasubiri majibu yenu.
Ahsanteni.
Kozi hii unakuwa Afisa Utumishi na AFISA utumishi ni kuangalia maslahi ya wafanyakazi, pamoja na nidhamu za wafanyakzi..... Yaani unakuwa unadeal na watu..... Iko poa sana....

Samsung J7
 
Bora ungeenda VETA sasa hivi ungekuwa na ujuzi wa kujiajiri ama kuajiriwa. Hapo utazunguka na vyeti mpaka uchanganyikiwe. Kwenye hiyo kada ya rasilimali watu kwenye maofisi hushililiwa na ofisa yoyote wa ngazi za juu, kwani katika kila digrii kuna unity inayohusiana na kada hiyo. Sasa watu wanapochemsha ni kuisoma yenyewe kavu kavu kwa bongo ama nchi za kiafrika itakula kwako
 
Ningelikuwa ndio wewe. Ningeenda kujifunza kuziba pancha za matairi ya pikipiki, bajaji na magari. Kamwe huwezi kulala njaa.
 
Back
Top Bottom