KijanaHuru
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,822
- 2,290
Wewe unajiajiri! au una maanisha wanaodevelop new system ili waziingize sokoni. Kama ni kusolve problems za watu si inabidi ujue mahitaji ya watu.Kajaribu kugoogle nakujua dart ni nini then utanishukuru baadaye
zingatia kutambua sifa za lugha kwa kufuata wewe unataka nini itakusaidia kujua nini ukitumie
usiangalie wigo wa ajira angalia wewe unataka ufanye nini na ni kipi sahihi kwako na rahisi zaidi
yeah nikweli kaka ndio maana nikaongea pia aaangalie nayeye pia kwanza nini anaona ndio kimemkaa au nini anataka kufanya. pia ukizingatia sana kuwa kwa ulimwengu wasasa kutakuwa na kazi nyingi kwa watu binafsi kuliko kusolve za zamani sababu yakukua kwa teknolojia mpyaWewe unajiajiri! au una maanisha wanaodevelop new system ili waziingize sokoni. Kama ni kusolve problems za watu si inabidi ujue mahitaji ya watu.
Kwenye physics research nilifundishwa kwamba unatakiwa uchunguze matatizo yanayowakumba watu ndio uanzishe researvh ya kitu sio matatizo yanahokukabili wewe binafsi. Watu ndio waajiri wetu.
Hio language unayoweza kufanya yote si ndio demand ya soko mkuu? Unawrza doma lugha kama Cobol today? Just imagine paskal haiitajiki sokoni sasa wewe kwa nini uikazanie.nikweli mkuu
mimi niliweza kujitoa mapema sana katika mfumo huo,
nikaangalia kusoma nijiajili sio niajiliwe,
na leo hii ulimwengu unabadirika kwa kasi kubwa sana maana google wameukamata ulimwengu wa teknolojia kwa hali ya juu sana,
leo huu mambo yakufanya kwa language 5 unaweza fanya kwa language moja ambayo haipo chuo bali ipo mtandaoni tu.
hivyo inategemea pia umeelewa vipi hiyo physics na unawezaje kujiajili nayo.
mimi huwa napenda sana kuawaza kwa kuangalia namna gani naweza kujiweka kuwa bidhaa adimu ili niwe na thamani kubwa zaidi kila kuchwao,
ila huwa siangalii kitu gani kipo sonokoni au kitu gani kinauzika siku zote nawwaza mimi kuwa bidhaa yenye thamani na niuzike mwenyewe.
nashukuru leo hii naweza kufanya makubwa ambayo hata huko chuo ningeenda sidhani kama ningeweza kuyapata.
never limit yours....................
angalia mifumo ya sasa inayotumika zaidi ni languagew ambazo ni popular toka zamani sanaHio language unayoweza kufanya yote si ndio demand ya soko mkuu? Unawrza doma lugha kama Cobol today? Just imagine paskal haiitajiki sokoni sasa wewe kwa nini uikazanie.
Soko ni muhomi sana.
Hata kwenye software development lazima uangalie uhitaji, huwezi umda software tu kisa unaipenda halafu watu wasiitumie.
Imagine umemasta vizuri quantum physics su atomic/nuclear physics hapa bongo, utajiajiri vipi kwa hio knowledge?nikweli mkuu
mimi niliweza kujitoa mapema sana katika mfumo huo,
nikaangalia kusoma nijiajili sio niajiliwe,
na leo hii ulimwengu unabadirika kwa kasi kubwa sana maana google wameukamata ulimwengu wa teknolojia kwa hali ya juu sana,
leo huu mambo yakufanya kwa language 5 unaweza fanya kwa language moja ambayo haipo chuo bali ipo mtandaoni tu.
hivyo inategemea pia umeelewa vipi hiyo physics na unawezaje kujiajili nayo.
mimi huwa napenda sana kuawaza kwa kuangalia namna gani naweza kujiweka kuwa bidhaa adimu ili niwe na thamani kubwa zaidi kila kuchwao,
ila huwa siangalii kitu gani kipo sonokoni au kitu gani kinauzika siku zote nawwaza mimi kuwa bidhaa yenye thamani na niuzike mwenyewe.
nashukuru leo hii naweza kufanya makubwa ambayo hata huko chuo ningeenda sidhani kama ningeweza kuyapata.
never limit yours....................
anayway kaajiliwe mzee babaImagine umemasta vizuri quantum physics su atomic/nuclear physics hapa bongo, utajiajiri vipi kwa hio knowledge?
Ulaya Asia,USA wana develop quantum computer, quantum internet, quantum engine, quantum satelite nk. hizo ni research centre tena uwe na Phd au very geneus.
Unaweza anzisha tafiti za kuunda quantum electronic chip hapa bongo ?
Uko mtaani labda ukawe fundi umeme wa majumba.
Cha ajabu ni kwamba curriculum ya physics TZ haina applied physics ni theoretical physics tu.
Just imagine unasoma physics(non major) ila husomi microcontroller,,processor nk
Sasa wewe utadizaini nini kwa ulimwengu huu wa teknolojia ya digital.
Non physics major hawasomi computer programming mpaka ufanye option huku una unit 30+
Mkuu there is big knowledge gap ktk mitaala ambayo kuiziba ufanye kazi ya ziada.
Sijajua wanaofanya engineering wanakuwa competent kiasi gani, ila natural science ni majanga labda ushifti to another career.
Ulaya wenzetu wameanzisha kitu kinaitwa engineering physics, yani mtu anakuwa hana tofauti na engineer sie bado tupo na mtaala wa mkoloni mpaka usome post graduate ndio uwe injinia, huu ni upotezaji wa muda.
I'm already employed!anayway kaajiliwe mzee baba
Mkuu nakusma vyema sana, kwa sasa teknoljia imebadilika sana, kwenye field ya prgramming kuna namna nyingi sana za kujiajiri.Imagine umemasta vizuri quantum physics su atomic/nuclear physics hapa bongo, utajiajiri vipi kwa hio knowledge?
Ulaya Asia,USA wana develop quantum computer, quantum internet, quantum engine, quantum satelite nk. hizo ni research centre tena uwe na Phd au very geneus.
Unaweza anzisha tafiti za kuunda quantum electronic chip hapa bongo ?
Uko mtaani labda ukawe fundi umeme wa majumba.
Cha ajabu ni kwamba curriculum ya physics TZ haina applied physics ni theoretical physics tu.
Just imagine unasoma physics(non major) ila husomi microcontroller,,processor nk
Sasa wewe utadizaini nini kwa ulimwengu huu wa teknolojia ya digital.
Non physics major hawasomi computer programming mpaka ufanye option huku una unit 30+
Mkuu there is big knowledge gap ktk mitaala ambayo kuiziba ufanye kazi ya ziada.
Sijajua wanaofanya engineering wanakuwa competent kiasi gani, ila natural science ni majanga labda ushifti to another career.
Ulaya wenzetu wameanzisha kitu kinaitwa engineering physics, yani mtu anakuwa hana tofauti na engineer sie bado tupo na mtaala wa mkoloni mpaka usome post graduate ndio uwe injinia, huu ni upotezaji wa muda.
Utakuwa bado mwanafunzi, hujawahi ajiri, ajiriwa wala kujiajiri.ukiajiriwa mshahara wako ni constant, kwenye kujiajiri kuna matokeo bora zaidi.