M4C(Muleba for change)
Sasa tutachangia kwa hoja gani uliyoileta?
soma kwanza umalize hata shule yenyewe ya sheria ndio upo mwaka wa tatu! Ushauri wangu usome usaidie fani ya sheria sio kukimbilia bungeni.
matatizo yopo mengi tu kama yalivo kwa majimbo mengi hapa nchni,kama maji,barabara elimu,exportation ya cash crops zao,maradhi,marazi n.k,kuhusu kwanini mimi,sababu nnazo nyingi sana ikiwemo utatuzi wa matatizo nloyataja hapo juu..weka matatizo ya muleba na utatuzi wake(include timeframe).pia elezea kwa nini wewe tu na sio mwingine unaweza kusimamia utatuzi wa matatizo hayo.sio mbaya kutangaza nia
nakushukuru kingkong kwa ushauri wako mzuri ntaufanyia kazi,tupo pamoja.Hili kushinda ubunge uwe na kiasi kisichopungua mil70(kwa mujibu wa redet) hila usiogope kama unakubalika vizuri unaweza ukafanya M4C(Muleba for change) ukapata kina sabodo wa huko wakakufainansi ukashinda ubunge,hila chunguza kwanza huko muleba kabla ya kuweka nia isije ikawa kama ya shinyanga mjini.
mi nadhani kama ungekua na nia ya kunisaidia ungenisaidia kwa hayo niliyoyainisha na sio,kunitaka nisome shule ya sheria,na wala hilo sio lazima,wananchi wanaangaika sana jamani,
Weka mipango yako, upate ushauri. Unaomba ushauri, kisha povu linakutoka!Pole.siombi kura,naomb ushauri,kama huna chakushauri unachuna tu,sio mpaka kila kitu uchangie,ni hayo tu.