Upiversity
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 3,487
- 2,634
nimelia kwa furaha ya kutoamini,mana wanga walisema sina hadhi ya kuwa nawe eti!wow! Asante kwa kunipenda...promise to love you forever!
ila usilie bwana,na mimi unanifanya niwe na huzuni….😉😉,
Ni kweli hatuta -do ???kweli wewe ni mwanaume wa pekee umenifanya nijione na bahati sana leo..thanks.
nimependa tu hapo ulipouliza ni kweli hatuta_do???? Punguza uwoga bibie umealikwa ukacheze karata tuwow! Asante kwa kunipenda...promise to love you forever!
ila usilie bwana,na mimi unanifanya niwe na huzuni….😉😉,
Ni kweli hatuta -do ???kweli wewe ni mwanaume wa pekee umenifanya nijione na bahati sana leo..thanks.
nimependa tu hapo ulipouliza ni kweli hatuta_do???? Punguza uwoga bibie umealikwa ukacheze karata tu
nimelia kwa furaha ya kutoamini,mana wanga walisema sina hadhi ya kuwa nawe eti!
Na hatuta-do kaaabisa,
na kesho tuwahi misa ya kwanza tumwambie Baba Paroko awe shahidi!
hahahaha kumbe Mkuu unaogopa mambo ya kidali pooohahaaa mkuu umenichekesha,ngoja niende kiukweli,najua haamini kama nitaenda getto kwake,lol
Mara nyingi huwa wanakuja na wasaidizi I think!!!! Hakikisha una tia goli Leo we fala nimewadhamini Leo kwa keka langu mzingue sasa km mlivyozingua juziHivi ukienda kumpikia bausa akakuzidi nguvu akakutafuna utamlaumu nanii?
Sent using Jamii Forums mobile app
Haleluyah Becky wangu wa kufa na kuzikana!Acha ya wanga,tusiwape nafasi, ndoa yetu tuifunike kwa damu yesu!..
yamempendeza Maulana mpaka kufanya tukutane..kwa hio jiamini mie ni wako!😉😉😉😉😉
Nimefurahi sana leo,hujui tu...lol
Mahitaji yoooote ni juu yako,Ugali wa mtama wa watu wa 5 na samaki kamongo yule bei gani unachaji. Basics tu, vitu mahitaji nanunua mimi au wewe ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo sio yangu tena, kazi yangu ni kupika basi.Na je kuna after service/sales support kama umenipikia nimeshiba ila bado niko na loneliness je?
NAKUPENDA!!! 😉😉😉
Oooh! i smell love lovie dovieee,Umenifanya nilie zaidi ya bwana Pilipili
nami nakuahidi hatua-do mpaka tukishaoana sababu,
NAKUPENDA ZAIDI!
Ngoja nimsafirishe mke wangu kijijini uje unipikie
Tatizo moja umetutenga huku Arusha.
Karibu sana.
Ingekua kuja kupika kwenye sherehe hapo sawa ila kwa mtu mmoja nikae 1 week hapana.Tatizo moja umetutenga huku Arusha.
Vipi nikigharamia nauli yako ya kuja na kurudi utakubali kuja kunipikia walau week 1?
Yaani utashusha gharama zako kwa week ukiwa Dar alafu nakulipa uwe unanipikia tuIngekua kuja kupika kwenye sherehe hapo sawa ila kwa mtu mmoja nikae 1 week hapana.
Shukran kwa ofa yako ila nasikitika sitaweza kuipokea.Yaani utashusha gharama zako kwa week ukiwa Dar alafu nakulipa uwe unanipikia tu
Kulikoni?Shukran kwa ofa yako ila nasikitika sitaweza kuipokea.