Pocahontas
Member
- Jan 30, 2019
- 46
- 49
Wapendwa habari zenu,
Napika chakula majumbani,
Kama unawageni na unatamani ungewapikia vyakula tofauti tofauti lakini huwezi au muda mdogo wewe niite nikupikie,
Kama una tamani familia yako ingepata lunch au dinner ya aina fulani wewe niite nikupikie.
Napika vyakula vya aina zote kwa bei nafuu sana.
Napatikana Dar es salaam Tanzania.
Mawasiliano 0745438007.
Karibuni.
UPDATE; Ndugu wateja ahsanten sana kwa muitikio wenu nyote mlionipigia simu na zaidi mlioweza kuniita na kuwapikia.
Niwakumbushe tu kwa wale waliolalamika gharama kubwa kwa mtu mmoja aliyetaka kupikiwa, ipo hivi, tangazo limekua wazi kabisa kua wahusika hapa ni familia au event yoyote ungetaka mpishi basi unanipigia nakuja, na kama wewe mtu mmoja ukitaka kupikiwa ugali samaki haitanifanya nikupikie kwa elfu 2 ni wazi nitakutoza walau nusu gharama ya huduma niifanyayo.
Unaweza kua mmoja lakini ukataka kupikiwa vyakula vingi ukaweka kwenye friji na kutumia kidogo kidogo hiyo itakua sawa.
Nawakumbusha msome tangazo na kulielewa.