Niionavyo awamu ya tano.

Niionavyo awamu ya tano.

NAMTUMBA

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
1,939
Reaction score
600
1. Wizara ya elimu inahangaika kukagua vyeti vya std7 badala yakuboresha elimu yetu duni.

2. Wizara ya afya inapambana na dk. Mwaka badala yakushugulikia afya ya mtanzania.

3. Utalii na maliasili wanapambana na magunia ya mkaa badala yakuboresha Utalii na kupambana na majangili.

4. Kilimo wanapambana na lumbesa za viazi badala yakukuza Kilimo chenye tija.

5. Viwanda na biashara wanahangaika na mitaro ya maji taka viwandani badala yakubuni namna yakufika nchi ya kiuchumi wa Viwanda.

6. Sheria na katiba wanatumia muda wao woote kupambana na lissu badala yakutuletea katiba mpya na kuboresha mfumo wetu wakisheria.

7. Mambo ya nje wapo bize kufuta safari za nje.

8. Mfalme yupo bize kupambana na UKUTA. Hatuoni dalili yakuleta mapinduzi ya viwanda kama tulivyoaminishwa kwenye kampeni hadi leo ahadi zinaongezeka wakati za mwanzo utekelezaji 0%.

9. PM yy na makontena tuu.

10. Habari michezo na utamaduni yy anapambana na vyombo vya habari tu badala yakuboresha michezo tuwafikie japo majirani zetu Kenya.

11. Maji na umwagiliaji wao wakobize kuchoma nyavu za wavuvi badala yakutuvusha kwenda miradi mikubwa ya umwagiliaji.

12.. ....

13.....

Ongezeni zingine.
 
Unaihamishia serikali dodoma wakati hata ofisi hakuna jenister muhagama wiki iliyopita aliwaomba SDA wapime maeneo kwa ajili ya ujenzi wa ofisi za serikali, najiuliza hiyo bajeti ya kujenga hizo ofisi inatoka wapi?
 
Hotuba maji Taka zinatolewa kila siku
 
Attachments

  • FB_IMG_1471561715031.jpg
    FB_IMG_1471561715031.jpg
    51 KB · Views: 41
Kiongozi wa ccm mzuri kwa kutoa ahadi za uwongo lakini sio mtekelezaji kwa videndo.
 
Umesahau wabunge wa upinzani kutafuta kick kwa kuwachokoza polisi na kumtukana rais badala ya kwenda kwenye majimbo yao kutekeleza ahadi zao.
 
Vijana wa Uvccm kujitoa ufahamu mitandaoni kutukuna na kusema uongo ili wapate buku 7 japo nasikia imeshuka pia kusubiri teuzi za ukuu wa wilaya
 
1.wizara ya elimu inahangaika kukagua vyeti vya std7 badala yakuboresha elimu yetu duni.

2.wizara ya afya inapambana na dk. Mwaka badala yakushugulikia afya ya mtanzania.

3. Utalii na maliasili wanapambana na magunia ya mkaa badala yakuboresha Utalii na kupambana na majangili.

4. Kilimo wanapambana na lumbesa za viazi badala yakukuza Kilimo chenye tija.

5. Viwanda na biashara wanahangaika na mitaro ya maji taka viwandani badala yakubuni namna yakufika nchi ya kiuchumi wa Viwanda.

6. Sheria na katiba wanatumia muda wao woote kupambana na lissu badala yakutuletea katiba mpya na kuboresha mfumo wetu wakisheria.

7. Mambo ya nje wapo bize kufuta safari za nje.

8. Mfalme yupo bize kupambana na UKUTA. Hatuoni dalili yakuleta mapinduzi ya viwanda kama tulivyoaminishwa kwenye kampeni hadi leo ahadi zinaongezeka wakati za mwanzo utekelezaji 0%.

9. PM yy na makontena tuu.

10. Habari michezo na utamaduni yy anapambana na vyombo vya habari tu badala yakuboresha michezo tuwafikie japo majirani zetu Kenya.

11. Maji na umwagiliaji wao wakobize kuchoma nyavu za wavuvi badala yakutuvusha kwenda miradi mikubwa ya umwagiliaji.

12.. ....

13.....

Ongezeni zingine.

Hongera well narrated
 
Back
Top Bottom