Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,363
- 18,654
Dawa moja tu fukuza wapiga debe wote stendi hiyoMwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Milka Joseph Mkazi wa Chato Mkoani Geita, amejikuta katika wakati mgumu yeye na familia yake na watoto sita baada ya kutapeliwa Fedha kiasi cha Shilingi laki Moja na elfu kumi na Mbili katika kituo Cha mabasi Msamvu na mtu aliyefahamika kwa jina Moja la Mussa akidai kuwa yeye ni Wakala wa Mabasi yaendayo Mlimba Chita Wilaya ya Kilombero.
Mama huyo amesema kuwa alipofika katika kituo hicho alipokelewa na kijana huyo kisha kukatiwa tiketi nne na kutakiwa kutoa Fedha hiyo na mara baada ya kutoa akatokomea kusikojulikana na kuwalazimu kulala nje na watoto wake.
Tumelichukua wazo lako tutalifanyia kazi.Serikali ipige marufuku mabasi yote maenda toka mkoa mmoja kwenda mwingine tiketi lazima zikatwe kwa mtandao au mashine ya tiketi
Mabasi yote ya kutoka wilaya moja kwenda nyingine ndani ya mkoa zikatwe ndani ya basi sio nje ya basi
Mussa majina ya wale wale upande wa pili kobaz.Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Milka Joseph Mkazi wa Chato Mkoani Geita, amejikuta katika wakati mgumu yeye na familia yake na watoto sita baada ya kutapeliwa Fedha kiasi cha Shilingi laki Moja na elfu kumi na Mbili katika kituo Cha mabasi Msamvu na mtu aliyefahamika kwa jina Moja la Mussa akidai kuwa yeye ni Wakala wa Mabasi yaendayo Mlimba Chita Wilaya ya Kilombero.
Mama huyo amesema kuwa alipofika katika kituo hicho alipokelewa na kijana huyo kisha kukatiwa tiketi nne na kutakiwa kutoa Fedha hiyo na mara baada ya kutoa akatokomea kusikojulikana na kuwalazimu kulala nje na watoto wake.
Waondoe wapiga debe standMussa majina ya wale wale upande wa pili kobaz.
adriz hydroxo Makonde plateu Adiosamigo gallow bird Tanganian
Unauliza majibu? Wasukuma wamezubaa sana, na liko likijana likubwa liko km zombie mamake anaibiwa huyo ht yeye anaweza kuibiwahuyo Mama sio Msukuma kweli.... 😀 ngoja tumwite Last KING Ontuzu atuambie....
Kuzubaa sio sifa kuwa mtu anastahili kutapeliwaUnauliza majibu? Wasukuma wamezubaa sana, na liko likijana likubwa liko km zombie mamake anaibiwa huyo ht yeye anaweza kuibiwa
Wewe hujakosea kujita KengeMussa majina ya wale wale upande wa pili kobaz.
adriz hydroxo Makonde plateu Adiosamigo gallow bird Tanganian
Wasukuma mhhh!!Mkazi wa Chato Mkoani Geita
Mshamba kapigwa huyo🤣Mussa majina ya wale wale upande wa pili kobaz.
adriz hydroxo Makonde plateu Adiosamigo gallow bird Tanganian