We are human beings. Rafiki yako alichofanya hakikiuwa kitendo cha kibinadamu, lakini maisha lazima yaende. Alichofanya huyo wengi sana yanawatokea, ila inategemewa mtendewa anakifua gani.
My take, usimtenge, msaidie awe binadamu yule aliyeumbwa na Mungu amtumikie yeye, shetani aliyepo ndani yake atoke. Mshauri ili asijekuwa amemuweka mwingine pembeni na mumewe.