Nihonge kiasi gani baada ya kugegeda?

Nihonge kiasi gani baada ya kugegeda?

Jembemtaji

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2014
Posts
1,192
Reaction score
928
Tusaidiane kidogo APA jamani

Ivi ni kiasi kinafaa kuonga baada ya kugegeda naisi kukimbiwa kwa ubahili kwani kila ninaempa hela baada ya mgegedo uigeuza Mara mbilimbili.
 
Haya tuambie wewe huwa unatoa kifuta jasho cha sh ngapi kabla mapeshee hawajafunguka
 
Malaya ndo anapewa hela baada ya kugegedwa,
Km ni mpenz Wako unatakiwa umpe hela mda wowote kadri ya uwezo Wako, na kama huna unatakiwa ukakope
..
 
kwani anakuuzia au vp?
pia km utamu c mnapata ote? ela km unayo mpe km auna mwambie cna!
 
ImageUploadedByJamiiForums1408858972.342741.jpg
Mi huwa nawapa cocktail kapuut
 
Inategemea uwezo wako kipesa na hadhi ya huyo mdada kwa maoni yako.
 
wanaohonga wote ni washamba na hawajui maana ya mapenz,mie sijawah toa ata mia na kila demu ananililia niwe wake na wengine wanathubutu mpaka kunitongoza,mapenz ni hisia ndugu zangu shauri yenu
 
Malaya ndo anapewa hela baada ya kugegedwa,
Km ni mpenz Wako unatakiwa umpe hela mda wowote kadri ya uwezo Wako, na kama huna unatakiwa ukakope
..

Wewe tabibumtaratibu yaani mtu akakope hela aje kukupa wewe,inamaana hata wewe humuonei huruma mpenz wako kuwa na madeni?
 
Last edited by a moderator:
mi baada ya kugegeda huwa sitoi chochote. Huwa nasubiri wakati mwingine ndo nampa chochote lakin si baada ya tendo
 
je kama mtu asipotoa jasho asipewe? Kuna wale wengne anagusa dk 1 amemalza na dada hatoi jasho

Kama ni kwa ajili ya jasho asee ss ndo tunapigiga kulitoa kam tunaangalia jasho m naanza kugoma kwanzia leo nipewe hela mm
 
wanaohonga wote ni washamba na hawajui maana ya mapenz,mie sijawah toa ata mia na kila demu ananililia niwe wake na wengine wanathubutu mpaka kunitongoza,mapenz ni hisia ndugu zangu shauri yenu
Endelea kuwadanganya wenziowe ni mhongaji mzuri sanaWanaokulilia hao watakuwa washamba tuUjue no one operates at loss
 
eh.....hebu muulize mzee huwa anatoa kiasi gani...?
 
Back
Top Bottom