Nigonge vizuri mimi boss wako

Erick Shigongo na Global Publisher Company yake wanatafuta sana Watunzi wa Hadithi kama hii yako hivyo nakushauri jaribu Kumtafuta ulambe Ajira ule Mshahara mnono.
 
Kwani ukisema wewe kuna shida gani boss wa UNESCO
 
Jamaa kawadanganya na muandishi wa thread umekuja kutudanganya.
Kuna mjinga nae humu ataenda kudanganya wenzake. Shenzzzzz taip
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa mnooo
 
Ndo maana watu huwa wanaogopa kuwa kind kwa wafanyakazi. Unacheka nae kidogo anakuja kukutangaza kwamba amelala na wewe. Kujipa ujiko
Ambao hana. Wanaume tunawajua mbona
 
Tena na dereva ,/mtu ambae yupo nae ofisi moja labda

Hii story kidogo imekosa uhalisia fulan
Hii ni chai iliyopitiziwa sukari, mabosi hawaliwagi kirahisi hivyo we jamaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…