Nightdress, pajama kali za kulalia

B

Bellami

Member
Joined
Aug 8, 2014
Messages
37
Points
95
B

Bellami

Member
Joined Aug 8, 2014
37 95
Asante,ila hujaweka bei,
Shida inakuj kw sisi tunaola uchi...namaanisha wanandoa plus joto la dar

Ila pajamas nzuri sana
Hahaha Mtende umenifurahisha sana, aisee hapo kwenye kulala mtupu sio cku zote bana utalala hivo, unamuaddress vipi mtoto, ama dharura ikitokea usiku inabidi kidogo uwe umejistiri..
Dar joto lipo, ila sio maeneo yote ucku, hizi pajama zipo light !
Bei ni 30,000 Tzs
 
Myahudi Jr II

Myahudi Jr II

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Messages
4,387
Points
2,000
Myahudi Jr II

Myahudi Jr II

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2016
4,387 2,000
Hahaha Mtende umenifurahisha sana, aisee hapo kwenye kulala mtupu sio cku zote bana utalala hivo, unamuaddress vipi mtoto, ama dharura ikitokea usiku inabidi kidogo uwe umejistiri..
Dar joto lipo, ila sio maeneo yote ucku, hizi pajama zipo light !
Bei ni 30,000 Tzs
Tofauti ya pajama na night dress ni nini??
 
Mtende

Mtende

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2010
Messages
4,841
Points
2,000
Mtende

Mtende

JF-Expert Member
Joined Sep 27, 2010
4,841 2,000
Sawa ntakuungisha, nlikua tu natania
Hahaha Mtende umenifurahisha sana, aisee hapo kwenye kulala mtupu sio cku zote bana utalala hivo, unamuaddress vipi mtoto, ama dharura ikitokea usiku inabidi kidogo uwe umejistiri..
Dar joto lipo, ila sio maeneo yote ucku, hizi pajama zipo light !
Bei ni 30,000 Tzs
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
65,939
Points
2,000
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
65,939 2,000
Size za Kitanzania zipo?
 
Santino

Santino

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2015
Messages
21,097
Points
2,000
Santino

Santino

JF-Expert Member
Joined May 11, 2015
21,097 2,000
Kweli ule wimbo wa chibonge nimeuelewa pale uliposema "chibonge mtu m-baya"
 
mankachara

mankachara

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2013
Messages
5,271
Points
2,000
mankachara

mankachara

JF-Expert Member
Joined Sep 27, 2013
5,271 2,000
Izo nguo wanalalia watu wa asia tu
 
Forum statistics

Threads 1,335,233
Members 512,274
Posts 32,499,831
Top